Mdada ukija kwangu naomba uvae bikini

Hivi kuna wanawake bado wanavaa undersket, maana kuna yale maundersket makubwa kwel, unakuta ya orange sijui ya purple, yanakata stimu kinoma!
 
wapo wengi tu hahahahaha kweli ndugu ila mimi nikiliona lina ning'inia huwa najisikia vibaya kweli sijui wanayapendea nini hayo huwa hata mood ya ku mshobokea inaisha, hata nikona demu amepaka maina dhaaaa ndo hata kushtua kichwa yangu hapana
 
Hahahaa dah hahahaha mnazionaga wapi aisee
 
wapo wengi tu hahahahaha kweli ndugu ila mimi nikiliona lina ning'inia huwa najisikia vibaya kweli sijui wanayapendea nini hayo huwa hata mood ya ku mshobokea inaisha, hata nikona demu amepaka maina dhaaaa ndo hata kushtua kichwa yangu hapana
Kwa kweli mnatofautiana,mana mwingine hina ndo anapenda mwanamke akipaka
 
Jina lako hakika linasadifu uwezo wa akili yako
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…