Heshima kwenu wakuu..!
Niliwahi kuandika post hapa kuhusu mdada mmoja niliyekuwa simuelewi..ilisomeka
Hivi kwa nini wadada mpo hivi..?..
Kama mtoto wa kiume nilichukua uamuzi mgumu nikafuta namba zake zote..juzi kati nikaona request Facebook ya mdada nikaccept..,leo nakuta message ati anasema.."...
mbona ckuhiz haunitumii tena sms au ndo umesusa?"..sijamjua kama ni yeye but one of our commmon friend ndo akaniambia kuwa ni yeye anatumia jina lingine..nikastaajabu ya Mussa..wadau nimjibu nini..anania gani na mimi..au ndo kafungua mlango...!
Heshima kwenu wote wakuu..!