Mdada anatafuta kazi Arusha

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,261
13,552
Habari zenu wakuu?

Nimeombwa niwafikishie ombi hili.

Mdada wa kitanzania miaka 30,elimu ya kidato cha nne,anatafuta kazi yeyote halali iwe kuuza duka,kupika kwenye migahawa,kazi za usafi nk

Anapendelea kufanya kazi ya kwenda kazini na kurudi nyumbani kwake,maana ana familia yake.

Anapatika Arusha mjini.

Mawasiliano ni PM, nikupe namba zake

Asanteni wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom