[h=3]MCHUNGAJI: Mgeukie jirani yako na umwambie Mungu yumwema, WAUMINI wote wakageukiana na kusema Mungu yumwema, MCHUNGAJI: Leo nitawaombea wale wote wasio zaa,mgeukie mwenzio na umwambie leo utapata mimba, mara likasikika bonge la kofi siti za nyuma! Kumbe mtoto 1 alimgeukia baba yake na kumwambia leo utapata mimba.[/h]