Mbona ameizungumzia Yanga, sio simba kama ulivyosema?Yanga niliwaambia watoe fungu la Kumi Wakadharau, laana Ambayo nimeishusha kwao ni Kushika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi kuu
"Nimempigia simu msemaji wa simba Ahmed ally awaambie viongozi watoe sadaka yao kabla mchezo wa Super League Dhidi ya Al Ahly lakini hajapokea simu Yangu ameikata !Mbona ameizungumzia Yanga, sio simba kama ulivyosema?
Ushetani mtupu"Nimempigia simu msemaji wa simba Ahmed ally awaambie viongozi watoe sadaka yao kabla mchezo wa Super League Dhidi ya Al Ahly lakini hajapokea simu Yangu ameikata !
Mwambieni ikifika hadi jioni saa 10 hawajatoa sadaka Basi watapata laana watafungwa magoli mengi na Al Ahly, sitaki mashabiki watoe sadaka zao hii wanatakiwa kutoa viongozi wa simba sio mashabiki"
Don't judge a book by looking coverUnabii huwa hauuzwi huyo mashimo Nabii ni pepo
Sadaka huwa hailazimishwi hata siku moja haya mapepo ndio yanaharibu sifa za Ukristo.Toka lini sadaka ikalazimishwa?
2 Kor 9:7-8
Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu. Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema
[emoji23][emoji23][emoji1666]Ushetani mtupu
Kwenye Ukristo sadaka huwa haidaiwi kwa nguvu wala kulazimisha
Tapeli mkubwa huyo Mashimo .SIMU ZAKE wasipokee ba viongozi wa Kikristo wanfuate mashimo wamkemee nipepi yake ya kutapeli.imtoke kwa Jina la Yesu
Toka lini sadaka ikalazimishwa kutolewa? Pepo mkubwa na shetani huyo Mashimo
Pepo hiloDon't judge a book by looking cover
Walio karibu na huyu mchungaji naomba wamsaidie!! Hajiharibii yeye tu bali anaupaka matope ukristo wote!! Nadhani anafanya mzaha, lakini si kitu kizuri kutumia nafasi ya uchungaji iliyo ya heshima kubwa kufanya mzaha!! Wakristo hatujaitiwa kulaani bali kubariki!!Unabii huwa hauuzwi huyo mashimo Nabii ni pepo
Sadaka huwa hailazimishwi hata siku moja haya mapepo ndio yanaharibu sifa za Ukristo.Toka lini sadaka ikalazimishwa?
2 Kor 9:7-8
Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu. Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema
Kabisa anaharibu sifa ya Ukristo tena wasioongee naye kwa upole Wamfokee hasaWalio karibu na huyu mchungaji naomba wamsaidie!! Hajiharibii yeye tu bali anaupaka matope ukristo wote!! Nadhani anafanya mzaha, lakini si kitu kizuri kutumia nafasi ya uchungaji iliyo ya heshima kubwa kufanya mzaha!! Wakristo hatujaitiwa kulaani bali kubariki!!
Njaa zake asitutisheHeshimu jina la Pastor
Kama ni kweli kamesema,basi Katapeli Sanaa! Hana tofauti na Tuma kwa namba hiii....Muhuni huyo feki pastor.
Kama anapenda vya bure aende Mombasa akapewa atakacho.
Yeye anadhani ni sifa kumbe uchoko.