Mchungaji Kimario amesema vizuri kuwa wazee waache kazi wakajiajiri, naomba yeye awe mfano

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,300
3,976
Nimesikia mahubiri ya Mchungaji Kimario akiwashangaa wazee wanaoshauri vijana wajiajiri.

Anasema wao wako serikalini miaka zaidi ya 30 hawajajiajiri wanawezaje kuwaambia vijana wanaotoka vyuo vikuu wajiajiri!

Binafsi ni mhanga wa ajira na nilishinikizwa sana na wazazi nitafute kazi ijapo nilipenda kufanya biashara sana.Bahati mbaya mama yangu hakunipa baraka zake katika biashara ndipo nikajitosa kwenye ajira na hadi leo nimekuwa mtumwa wa ajira.

Mimi namuunga mkono mchungaji huyo lakini naomba yeye awe wa kwanza kuacha kazi hiyo ya kulipwa ili vijana wafanye kazi. Anaweza kujiajiri kwa kuhubiri kama Mwalimu Mwakasege.

Ukitaka kufundisha somo ueleweke fundisha kwa mfano, vinginevyo tutamuona mtu anayetaka tu umaarufu rahisi kwa vijana wasiojielewa. Maana ni serikali gani inaweza kuajiri watu wote?
 
Nimesikia mahubiri ya Mchungaji Kimario akiwashangaa wazee wanaoshauri vijana wajiajiri.
Anasema wao wako serikalini miaka zaidi ya 30 hawajajiajirqei wanawezaje kuwaambia vijana wanaotoka vyuo vikuu wajiajiri!

Binafsi ni mhanga wa ajira na nilishinikizwa sana na wazazi nitafute kazi ijapo nilioenda kufanya biashara sana.Bahati mbaya mama yangu hakunipa baraka zake katika biashara ndipo nikajitosa kwenye ajira na hadi leo nimekuwa mtumwa wa ajira.

Mimi namuunga mkono mchungaji huyo lakini naomba yeye awe wa kwanza kuacha kazi hiyo ya kulipwa ili vijana wafanye kazi.Anaweza kujiajiri kwa kuhubiri kama Mwalimu Mwakasege.
Ukitaka kufundisha somo ueleweke fundisha kwa mfano,vinginevyo tutamuona mtu anayetaka tu umaarufu rahisi kwa vijana wasiojielewa.Maana ni serikali gani inaweza kuajiri watu wote?
Mbona unaongea. Hata haujui unaongea kitu gani
 
Aisee umeongea ujinga mwingi.
 
Uchungaji sio Ajira ni wito.
 
Unasema hakuna serikali inaweza kuajiri watu wote,tena unampinga anae hamasisha watu wajiajiri mbona hueleweki unachoongea?unajua wachungaji wa kkkt wanalipwa shingapi.
 
Nimesikia mahubiri ya Mchungaji Kimario akiwashangaa wazee wanaoshauri vijana wajiajiri.
Anasema wao wako serikalini miaka zaidi ya 30 hawajajiajirqei wanawezaje kuwaambia vijana wanaotoka vyuo vikuu wajiajiri!

Binafsi ni mhanga wa ajira na nilishinikizwa sana na wazazi nitafute kazi ijapo nilioenda kufanya biashara sana.Bahati mbaya mama yangu hakunipa baraka zake katika biashara ndipo nikajitosa kwenye ajira na hadi leo nimekuwa mtumwa wa ajira.

Mimi namuunga mkono mchungaji huyo lakini naomba yeye awe wa kwanza kuacha kazi hiyo ya kulipwa ili vijana wafanye kazi.Anaweza kujiajiri kwa kuhubiri kama Mwalimu Mwakasege.
Ukitaka kufundisha somo ueleweke fundisha kwa mfano,vinginevyo tutamuona mtu anayetaka tu umaarufu rahisi kwa vijana wasiojielewa.Maana ni serikali gani inaweza kuajiri watu wote?
Unamtuhumu Bure,yeye binafsi hajawahi kuwaambia vijana wajiajiri, viongozi wa serikali ndio Wana kauli hizo.
 
Uchungaji sio kazi ni wito.Ingekuwa kazi kila mtu angefanya
Unadhani hao waliokosa ajira hawapendi kuajiriwa kwenye kazi ya uchungaji?
Hebu tangaza nafasi ya kazi ya mchungaji wa KKKT hapo Mwenge uone application za vijana zitakazokuja.Ni zaidi ya elfu 10
 
Aisee umeongea ujinga mwingi.
Pole sana vumilia utapata kazi tu,lakini usiishi kwa shemeji yako jitume uuze hata mayai ya kuchemsha.

Kama huna mtaji weka namba yako tukuchangie.Punguza makasiriko
 
Bro mi nimeajir watu 10 rasmi achilia vibarua. Unaonekana umetoka sehemu ambayo wewe ndio mwenye mafanikio so unaona kuajiriwa ni deal kuubwa. wakat wenzio tangu miaka 94 hatujawah kuajiriwa wala hatujawah kuwaza kuajiriwa. Nimekuambia umeongea utumbo mtoto wa kiume acha kushobokea Babylonia system ukadhan unaweza kutoka kwa kuajiriwa.
 
Back
Top Bottom