PreGE2025 Mchungaji Hananja achukizwa na kauli ya Askofu Gwajima kumwita Mbunge wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mchungaji mstaafu wa kanisa la kiinjili la kilutheri( KKKT) nchini Mchungaji Richard Hananja amechukizwa na kauli ya Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Kawe ya kumwita Mbunge huyo wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro" akiwa madhabahuni kuwa ni matumizi ya madhabahu kama sehemu ya kufanya siasa.

Askofu Gwajima alimjibu Mbunge Tarimba baada ya mkutano wa habari na waandishi wa habari alipotoa orodha ya watu waliotekwa nchini na kumtolea mfano mtoto wa rais,kauli ambayo mbunge wa kinondoni amezitolea ufafauzi kuwa ni laana Kwa mchungaji huyo.

Siku za hivi karibuni viongozi wa dini wameonekana kutokukubaliana na mwenendo wa Hali ya kisiasa nchini na kukemea utekaji unaoendelea huku wengine wakiitaka serikali kukukaa chini na kuvisikiliza vyama vya upinzani nchini.

Source: Habari mpya
 
Mchungaji mstaafu wa kanisa la kiinjili la kilethuri( KKT)i nchini Mchungaji Richard Hananja amechukizwa na kauli ya Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa kawe ya kumwuita Mbunge huyo wa kinondoni Abbas Tarimba"Ponjoro" akiwa madhabahuni kuwa ni matumizi ya madhabahu kama sehemu ya kufanya siasa
Mambo ya walawi waachiwe walawi
 
Na vipi kuhusu Askofu wake Malasusa aliyeruhusu watu waitumie harambee ya Kanisa kupiga vichambo?
 
Mchungaji mstaafu wa kanisa la kiinjili la kilutheri( KKKT) nchini Mchungaji Richard Hananja amechukizwa na kauli ya Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Kawe ya kumwita Mbunge huyo wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro" akiwa madhabahuni kuwa ni matumizi ya madhabahu kama sehemu ya kufanya siasa.

Askofu Gwajima alimjibu Mbunge Tarimba baada ya mkutano wa habari na waandishi wa habari alipotoa orodha ya watu waliotekwa nchini na kumtolea mfano mtoto wa rais,kauli ambayo mbunge wa kinondoni amezitolea ufafauzi kuwa ni laana Kwa mchungaji huyo.

Siku za hivi karibuni viongozi wa dini wameonekana kutokukubaliana na mwenendo wa Hali ya kisiasa nchini na kukemea utekaji unaoendelea huku wengine wakiitaka serikali kukukaa chini na kuvisikiliza vyama vya upinzani nchini.

Source: Habari mpya
He has lost spiritual focus.
 
Ni ponjoro. Huwezi kusema watu na kutegemea wasikuseme. Gwajima amejibu tu. Jamaa ni ponjoro
 
Ametafuta pa kutokea ameona hapo ndio pazuri, kama hajui maana ya ponjoro atulie tu...sie kwa kiluga chetu tunaita Afkasti😂. Asiri yetu inajulikana ...Hawa ambao walikuja kikazi nchini kwetu na wakapata Bahati kuzaa na wenyeji hapa nchini ndio sura zao zinakuwa vile na jina lao ni halisi Wala si tusi, mzee atulie tu
 
Watu wamekuja kanisani kumuabudu Mungu na kuombea shida zao, wewe Mtu mmoja ibada nzima ni kuhubiri Ponjoro Ponjoro Ponjoro.
Hayo kazungumzie Kunakohusika
 
Haya, sensa inaendelea.
Aje mwingine naye ahesabiwe
 
Mchungaji mstaafu wa kanisa la kiinjili la kilutheri( KKKT) nchini Mchungaji Richard Hananja amechukizwa na kauli ya Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Kawe ya kumwita Mbunge huyo wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro" akiwa madhabahuni kuwa ni matumizi ya madhabahu kama sehemu ya kufanya siasa.

Askofu Gwajima alimjibu Mbunge Tarimba baada ya mkutano wa habari na waandishi wa habari alipotoa orodha ya watu waliotekwa nchini na kumtolea mfano mtoto wa rais,kauli ambayo mbunge wa kinondoni amezitolea ufafauzi kuwa ni laana Kwa mchungaji huyo.

Siku za hivi karibuni viongozi wa dini wameonekana kutokukubaliana na mwenendo wa Hali ya kisiasa nchini na kukemea utekaji unaoendelea huku wengine wakiitaka serikali kukukaa chini na kuvisikiliza vyama vya upinzani nchini.

Source: Habari mpya
Hananja umelipwa kiasi gani kuongea huu utopolo wako??
 
Back
Top Bottom