Mchumi anatafuta kazi yoyote halali

nanjinji

Senior Member
Mar 23, 2017
151
250
Wassalam wakuu..!
Baada ya salamu wakuu mimi ni kijana wa miaka ishirini na tano(25), nimemaliza shahada ya kwanza ya uchumi mwaka 2016 katika chuo flani hivi mkoani Arusha. Na makazi yangu kwa sasa ni Masasi Mkoani Mtwara ambapo nlikuwa najishulisha na kilimo cha mboga mboga lakini kwa bahati mbaya kuna watu ambao hawana nia mbaya walipita shambani kwangu na kuharibu mazao yangu kwa hiyo nimeingia hasara taslimu na nyanya zilikuwa na mwezi mmoja.
Licha ya kusoma Uchumi lakini pia nina ujuzi wa mambo ya bustani na ufugaji wa kuku kwa njia za kisasa na nina uzoefu wa kufanya kazi kwa muda kwenye shirika moja lisilo la kiserikali hapa wilayani Masasi na nilifanya kazi za M & E.
Kazi zingine nazoweza kuzifanya;
1. Kukusanya taarifa na kuandika ripoti (Collecting, collate data and report writing skills)
2. Kuwaongezea na kuwajengea ujuzi wananchi katika kutambua fursa.
3. Naweza kufanya kama afisa masoko
4. kutoa elimu kuhusu ufugaji wa kuku na pia mimi mwenyewe naweza kufuga kuku.
5. kushiriki shughuli za jamii hasa za kimaendeleo.
6. Pia naweza kufanya kazi yoyote kulingana na mazingira husika na wakati
Mawasiliano yangu ni 0625772035
 

24hrs

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
2,597
2,000
capital ni kitendawili kwa wasomi wasio na kipato kizur kwa family
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom