habari zenu wanajamii forum napenda kuwashukru woote wanaochangia maada mbalimbali katika page hii
baada ya hayo naomba nieleze ya moyoni kwa mi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 natafuta mchumba(binti) awe na umri usio zidi miaka 21 awe wa rangi yoyote kabila lolote/lugha yoyote tuwasiliane kupitia No. 0756245343:hand: