Suala la uchawi lipo ht vitabu vya mungu vinasema ila yeye anapata muda wapi mpk kupokea habari za mpz wake kwa watu?Acha uoga!!! kwanza elewa kuwa hakuna uchawi. baki kwenye msimamo wako. msike mungu wako sana na hata hao wanaokuletea umbea wataacha.
Acha uoga!!! kwanza elewa kuwa hakuna uchawi. baki kwenye msimamo wako. msike mungu wako sana na hata hao wanaokuletea umbea wataacha.
unachukua test tube, ndani unaweka H2SO4 kidogo, unachukua na PKMNO4, unachanganya na kijiko kimoja cha ukwaju, maffi kidogo ya sisimizi, kwato ya mbu, unaweka kwenye Bunsen burner, hakikisha mchanganyiko uchemke kwenye -100C degree. bye
Mtafute majimoto wa jukwaa la business atakupa dawa yao ndo mambo yake hayo
Ndg wana Jf najitokeza leo,naombeni ushauri wenu,nimepata mchumba ambaye ni mzuri,mpole na tunaependana sana.LAKINI tatizo nina taarifa kutoka kwa wazee,kuwa kwao ni wachawi.NAOMBENI ushauri wenu,,najaribu kumwacha nashindwa maana nampenda,,nisaidieni