Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,692
Man whatch out...kama kweli umemdhibitishia kuwa ana shida lakin bado hataki na anaelekea kukuchukia basi ujue anaifaham shida yake, na ni ya sikunyingi na anajua kuwa anayo..Jaman naomba msaada wenu.
Nina mchumba wangu nampenda sana. Ila anapepo linalomsumbua na nimejihakikishia kuwa hili pepo linanichukia mimi sana.
Hili limekuwa likimpanda tukifanya mapenzi. Akikarbia kufika kileleni anapoteza faham, mdomo unafunga na meno kukaza na hawezi fungua mdomo wala kuongea. Napojarbu kumuongelesha anaongea kwa ishara za mabubu. Ila nachoelewa ni kuwa ni kma vile ananiomba nimpeleke nyumbani.
Huweza poteza faham zaid ya hata dakika 50. Na hurudisha fahamu baada ya kumwagia maji ya baraka na kumvalisha Rozari Takatifu.
Hii imetokea kwa mara ya Tatu hivi sasa. Anaporudisha faham huwa namueleza na anakataa kabisa kuwa hana mapepo na yupo sawa.
Hii mara ya mwisho nilimrecord video na kumuonesha baada ya kupata faham. Lakn bado anakataa mpaka sasa kuwa yupo sawa na hana mapepo.
Kibya zaid anachukia sana napomsisitiza kuwa anamapepo na aende kanisani kuombewa. Yani nikimsisitiza kwenda kanisani anapata hasira ya ajabu mpaka mimi naogopa.
Wakuu hebu nishaur nifanyeje hapa. Nampenda ila anamapepo na hataki kuombewa.
Na hili pepo ni kama vile ndyo linapeleka mwisho wa mapenzi yetu maana sikuhiz ni kama vile hanipendi baada ya kujua anapepo.
Na si ivyo tu. Nahisi hata hilo pepo linanisababishia misukosuko hata niweze kupoteza maisha. Hivi karbun nimepata ajal ya gari ingawa gari lilikuwa written off, ila kwa neema za Mungu nilitoka salma bila hata mchubuko. Biashara zangu nazo sikuhiz ni hasara tu. Sina bihshara kubwa kivile, ila ndan ya miez mitatu ninahasara ya zaid ya 20m, nakarbia hata kufilisika.
Pole sana kwa hilo tatizo linalokutoke.Jaman naomba msaada wenu.

Upo sawa mkuu hata mimi ndio nachoona hapo. Ila mimi huwa sikimbii tatizo huwa napenda kusolve tatizo. Labda ningepata njia ya kumsaidia kwanza.Man whatch out...kama kweli umemdhibitishia kuwa ana shida lakin bado hataki na anaelekea kukuchukia basi ujue anaifaham shida yake, na ni ya sikunyingi na anajua kuwa anayo..
Hapa mawili.. moja hataki ww umuone mbaya ili umuache..
Lakin kama imefika wkt mambo yako nayo yanaenda vibaya ,ujuwe kuwa you have messed na spiritual side ya huyo mwanamke, either mizimu, au mapepo yataanza ku fight back usimdhuru mtu wao. Na ikianza hivyo ujuwe, wataanza ku attack uchumi na afya yako...
So man kwa usalama wako, msaidie ila kuwa makini sana, nenda kwenye maombia sana.. protect kila kilicho chako.. lakin akionyesha kuwa haeleweki.. break up itakuwa kwa faida yako.
Hupoteza faham na kuanza kuongea kwa ishara kama bubu. Yan unamuongelesha yeye anajibu kwa ishara.Huenda hana pepo, ila wakati anafika kileleni huendo ndo anakuwa hivyo, wengine hupoteza fahamu
Niliuza screpa tyar.Herad bana, we utakuwa na pepo na chadema afu huyo mchumba ana pepo la ccm.
Vp gari iliyopata accident uliuza au bado inaiangalia tu.
Bado sijafika kufikir ivyoWatch out......Kajini katoto hako
Siyo kila kitu ni nguvu za Giza!My husband Mshana Jr
Sio kila kitu zi mizaaha nduguKitunguu maji hiki
Ni nini sasa?Hilo sio pepo mkuu