Mchumba wangu alifanyiwaoperation apendix, ana low blood pressure. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchumba wangu alifanyiwaoperation apendix, ana low blood pressure.

Discussion in 'JF Doctor' started by Tripo9, Dec 18, 2009.

 1. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,170
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hallo members,
  Naingia hofu itakuaje nkijamuoa mchumba wangu huyu.
  Operation ya apendix alofanyiwa inasababisha matatizo ya tumbo kuuma kukiwa na baridi hasa.
  Ana low blood pressure.
  Mimi sijiskii confortable kuishi na mke mwenye magonjwa yamsumbuayo km haya.
  Naomben mchango wowote wa kunitia moyo jinsi ya kuish na m2 kama huyu, au lemme put it dis way; kwa wale wenye matatizo kama haya wanakabiliana nayo vp ili nami nielewe? na pengine nifute mawazo yangu yalonjaa kichwani kuhusu matatizo ya kuish na m2 wa dizain hii!
  Nasubiri kupokea ushaur wowote ili niweze weigh out options zote. Asanteni

  NB: Nlitaka nifungue hii sred jukwaa la mapenz lkn nkaona huenda doctaz wanaweza toa valuable contributions to aforementioned problems.
   
 2. T

  Tanzania Senior Member

  #2
  Dec 18, 2009
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  1. Je Unamwamini Mungu?
  2. Mchumba wako hakupenda kuwa hivyo. Ni magonjwa ambayo hata wewe unaweza kukutana nayo
  3. Unapotaka kuoa jambo la kwanza kabla hujaangalia kama mwezako anakufaa, ni vema kuangalia kama unamfaa.
   
 3. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,170
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ndugu Tz
  1. Ndio namwamin mungu.
  2. Kweli naweza pata hata mi, lkn naweza pia nsipate. Hata hivyo m2 huchagua pia.
  3. Ananipenda ndio, na 2meanza kupendana hata siku 3 hazijapita so far.
  Asante
   
 4. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0

  Mkuu kama una mwamini Mungu kweli basi shukuru sana mchumba wako hana ugonjwa wa kutisha. I will share my own personal healthy issue na za rafiki wa karibu uone how lucky you are:
  1. nami nilifanyiwa upasuaji wa kuondoa appendix - ni kawaida kwa mtu mwenye mshono nyakati za baridi hasa mawingu mshono unauma. Hii hali inabadilika kadri muda unavyokwenda.
  2. nimeondolewa tonsils
  3. as if this is not enough nikapata na ugonjwa unajulikana kama 'Grave disease' - thyroid disorder. Mungu mkubwa nodes zikawa sio zile zinakuja leta cancer. Juhudi za kurekebisha zitoe homoni kiasi kinachotakiwa zikashindikana, ikabidi nipewa radioactive iodine kuziua, nakunywa dawa for the rest of my life.
  Kuna jamaa wangu wa karibu tumeongea siku za karibuni mzima wa fya na plan za maisha kibao, ghafla siku chache mbeleni tunajulishwa amepatwa na ugonjwa wa kutoka damu sehemu mbali mbali za mwili, hospitali wanasema amepatwa na one of very rare cases of blood disorder and there is no treatment. Madaktari wakampa wiki tatu za kuishi na kweli jamaa alifariki muda huo.

  Haya yote ni majaaliwa ya mwenyezi Mungu, hakuna mtu anachagua kupata ugonjwa. Kama unampenda huyu binti hutamuacha kwa ajili alitolewa appendix au ana low blood pressure.
   
 5. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2009
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,727
  Likes Received: 8,292
  Trophy Points: 280
  Ndugu hiyo si sababu ya kufikiria kumuacha..kwani kazi ya Mungu haina makosa na kila afanyalo lina mipango! kama kweli wampenda (utamlinda!)..mi nanona uendelee kuwa naye for one thing is: where there is love nothing can come between and secondly, who told u dat her situation is permanent??
  Mwanaume, acha masikhara na haraka ukatubu na umrudie mchumba wako..
  *usisahau kuntumia kadi!
   
 6. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,170
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  @Mndee, duh pole sana mkuu. Kwel binadam hujafa hujaumbika.
  @ ebby, i wore a broad smile on ma face as i was readin ur last word. N wayz, kadi utapata tu mkuu mambo yakijipa mungu akipenda.
   
 7. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu yangu magonjwa ya mkeo yana dawa, na unaweza kukontrol. Kidonda cha upasuaji ni kweli kwa siku za mwanzo kinauma kutokana na mabadiriko ya hali ya hewa. Hii ni kutokana na uzoefu wangu. Cha kuzingatia ni kwamba nyakati za baridi avae sweta, na kunywa chai ya moto au maji moto, inasaidia kukuongezea joto.

  Kuhusu low blood pressure sijui ni ya kurithi au imetokana na shinikizo la maisha. lakini bado linatibika ukipatiwa ushauri wa Doctor. Nina ndugu yangu alikuwa na hali hiii lakini kwa muda mrefu haijasumbua, alikuwa anakunywa kahawa pale anapojisikia hali isiyo ya kawaida. Hii husaidia kuongeza mapigo ya moyo na mzunguko wa damu. Hali ilipotea baada ya kupunguza mashinikizo ya maisha.

  Kama huyu dada anakupenda you are the only one you can make her life better. Anahitaji upendo, na hizo hali zitakwisha. Ukimwacha anaweza kufa haraka sana, huwezi jua je huu ndo mtihani wako? Mungu amekupangia nini baada ya huu mtihani. Imani yako ipo wapi?

  Put yourself in her shoes then evaluate.
  Kama umemkuta huyo dada anamatatizo hayo na hamna uhusiano wa muda mrefu then you may decide to leave her. Lakini kama hakuwa na matatizo hayo, na yametokea ndani ya uchumba wenu then you should not leave her. because it can happen to anyone and for that case she needs you now more than any other time.


  Let me tell you one thing, I 'm not threatening you but nobody knows...
  1. unaweza kumtema huyo dada kwa sababu ya matatizo aliyonayo sasa. Yeah utapata kisura mwingine mzima wa afya. Je ikitokea mmezaa mtoto mwenye special needs, utamwacha mkeo na mtoto????
  2. Ndoa ni raha na shida mpaka kifo, je ikitokea wewe unapata ugonjwa kwa siku za mbeleni, mkeo akuache/akukimbie???

  Nakutakia upambanuzi wenye maamuzi ya busara.


   
 8. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,170
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Cham2mav nashukuru kwa ushaur wako.
  Kweli huwez mwacha m2 katikati ya safar mulioianzisha mkiwa wote wazima then katikat ya safar hiyo mwenzako akapata ugonjwa. Kumuacha itakua dhambi kubwa.
  To be precise mi huyu bint 2mefanya our first date jana 17dec. So nmemhoji ndo nkajua mambo hayo nlo yataja. Hivyo unaona kua so far hata siku 3 ha2jatimiza ktk urafk we2. Ndo maana nataka ushaur ili kama nikuji-komit niji-komit nikiwa najua matatizo haya ntakabiliana nayo vp.
  Thanx
   
Loading...