Hapa nilipo nimechoka akili na roho..... sijui nitaanzaje kumuuliza mshkaji maana siku zote yeye ndo kinara wa kupigiastory za mademu na mastyle ya kumake malove.
Kama mnaheshiana basi muulize anataka nini hasa kutoka kwako. Au muulize jamaa (hapa inahitajika ujasiri) kuhusu hilo tatizo mkewe alilokuambia.
umeielewa thread.....?
umeielewa thread.....?
Kaunga! Hapo maana yake nini? au kwa kuwa hamdindi?
Ila nimepapenda sana. Mwanamke lazima ajiamini, ajithamini, na ajiheshimu.
Bazazi!
omba mzigo ukatest acheki nayakwako kama inasimama dede au vipi kama amekuamini na kakuambia nawewe muambie mkafanye kolabo myt be anamsingizia msela anataka game hapo kijana nenda kapafomualianza kama hivi.
Unajua shem, naomba usinielewe vibaya ila hichi kitu nilitaka nikueleze toka sikunyingi lakini nilivumilia nikijua kitaisha ila naona tunaelekea kwenye ndoa na hali ni ileile na rafiki yako hataki ushauri wangu...
Nikamuuliza kulikoni tena mbona unanishtua....
Akavuta pumzi akarudisha kijiko kwenye sahani akaanza kuongea kwa sauti ya chini .. Jamaa hafunction vizuri.. yaani its complicated.
Kwa kweli nilihisi sikumuelewa hivyo nikaomba arudie... akasema uku ananiangalia machoni; mshkaji wako haisimami vizuri na nimeshamshauri twende hospital toka siku nyingi hanielewi... i dont think if i am ready for this shem... no..no,no,no i cant anymore.. ziwezi nimekuambia kama rafiki yake wa karibu ili ukisikia malalamiko yoyote ujue sababu ndio hiyo na si nyingine... Ila we can just be friends and hangout kama kawaida.... alisimama akaondoka hata chakula hakumalizia.....
.
mwanzilishi wa chama cha wabana k upo?????? kama ulipotea kimtindo hivi for the past 24hrs?? hebu msaidie jamaa yetu bwana kushangaa tuu its not helpful?????????????????????
Inasikitisha sana, poleni kwa mitihani. So happy to be a woman!
nipo busy nakutafutia sikumwanzilishi wa chama cha wabana k upo?????? kama ulipotea kimtindo hivi for the past 24hrs?? hebu msaidie jamaa yetu bwana kushangaa tuu its not helpful
What is that supposed to means...............unafikiri hakuna wanawake wenye matatizo kama haya.
I think You're happy coz you dont have that problem..............
eeehhhhh.........!!!!!! unanitafutia siku tena?? mwenyekiti, hebu msaidie huyu jamaa basi maana umeshangaa tuu........nipo busy nakutafutia siku
Hapana aisee..yaani anajieshimu sana huyu dada... anajua nina mke na wote huwa tunakuaga pamoja outing
huyo dada ni MUONGO atakua ameisha achana na huyo jamaa yake sasa anatafuta njia ya kumucha kwa kumpa kashfa nzito na chafu.think twice mkuu hawa wadada ndo stlye yao siku hizi unaweza kusikia nimemuacha huyo jamaa yenu kisa anakidude kidogo kama SOSEJI au hana nguvu sawa sawa akishapiga kimoja analala.na mnavojua tazizo la nguvu za kiume maana hakuana nguvu za kike basi tunaanza kuelewa hivyo.mie kuna jamaa aliambiwa oohn nimemucha kisa hajui kuperform duh ilibidi niweke rekodi sawa ilikua ni uongo mkubwa coz jamaa tulishawahi kumpiga chabo aaaah asikwambie mtu gemu lake ni soo.
tena anamtaka sanaanakutaka huyo....