salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 654
Na wale watoto wanaobakwa au kuwa abused ni sumaku na wenyewe ni wabaya ndio maana ubaya unawafika ?, waliokumbwa na Tsunami je ?, au vitoto vichanga vinavyozaliwa na wazazi wao kutoweka ?, au wazazi wazembe wanaozaa watoto na kuwatupa hao watoto ni sumaku ?
Mkuu wangu acha kuwa na imani hadi inakupofusha unakuwa kipofu (kama unaamini Mungu alikupa akili na busara, basi tumia akili yako na busara zako kuruka viunzi na kufanya maamuzi bora) sio kusingizia ni mipango ya Mungu pindi mambo yakienda kombo.., na kila anayekumbwa na baya sio kwamba amefanya kosa.
watu walipiga goti na wakalamba garasa,mie am begining to question if theres God,and if he is there...he is fair????:shut-mouth::A S 11:
Kupenda kwa dhati ndiko kukoje? Kipimo ni kipi???
Mtu atakupendaje wakati hampendi mungu aliyemuumba na kumleta duniani? ni upendo gani huo? kuna kupenda kwa akili ya mtu anavyofikiri?kupenda ni elimu kubwa sana sweetie,kupenda kunahusishwa na mapenzi kimakosa.KUPENDA HAKUNA UHUSIANO NA NGONO LAKINI MAHUSIANO YOYOTE YASIYOKUA NA UPENDO HAYAWEZI KUDUMU.
Upendo ni hali ya kumkubali mtu bila kuweka masharti yoyote.But this does not mean being fool.kupenda kule kunakohusishwa na mapenzi kuna matatizo kwa kuwa kunavyotamkwa au kuelezwa kunapingana na kanuni ya upendo.
Kitu tunachotakiwa kujua ni kuwa kila kitu kina kanuni yake hakunakilicho hivihivi tu.Unapoenda kinyume na kanuni lazima utapata matokeo hasi tu,ndo maana kila uchao watu wanakuja hapa na malalamiko ya mahusiano yaokuwa ya hovyo.Hii inatokana na kukiuka kanuni ya upendo.
Upendo kanuni yake ni kumkubali yoyote bili kujali hali yake ya mwili,fedha,elimu n.k,na hapa ndipo wengi tunafail kwa kuwa upendo ,wa namna hii hatujafundishwa,tumeambiwa ili umpende mtu ni lazima awe na fedha,elimu ya kiwango fulani n.k,au mtoto anaependwa ni yule anaeweza masomo shule,asieweza anachukiwa!
Hakuna akili mbele ya maandiko, uovu wa wazazi huandama kizazi chao na bwana huupatiliza uovu wa mtu hadi kizazi cha nne hata cha tano. Je zambi ya adamu haikuleta madhara unayoyavuna wewe leo hii? kifo kilitoka wapi?
Read this:
And it came to pass, when Ahab heard that Naboth was dead, that Ahab rose up to go down to the vineyard of Naboth the Jezereelite, to take possession of it. And the word of the Lord came to Elijah the Tishbite, saying, Arise, go down to meet Ahab king of Samaria; behold he is in the vineyard of Naboth, whither he is gone down to possess it. And thou shall speak unto him, saying, thus saith the Lord, Hast thou killed and also taken possession? And thou shalt speak unto him, saying, thus saith the Lord, in the place where dogs licked the blood of Naboth, shall dogs lick thy blood even thine. Behold, I will bring evil upon thee, and will take away thy posterity and will cut off from Ahab him that pisseth against the wall, and him that is shut up and left in Israel. And will make thine house like house of Jeroboam the son of Nebat, and like the house of Baashe the son of Ahijah, for the provocation wherewith thou hast provoked me to anger and made Israel to sin.
Dhambi ya kumuua Naboth aliifanya mkewe aitwaye Jezebel lakini hukumu ikaja juu ya kichwa cha Ahab mumemewe. Na si hayo tu, hukumu ikatamkwa juu ya uzao mzima wa Ahab kwamba hakutajatokea akazaliwa mtu mume katika ukoo wake maisha na walioko hai watauwawa wote. Je ndugu yangu unayechemka huo nao ni upofu wangu wa imani au ujuaji wako usio na maana yoyote? Dhambi ufanyayo leo haikuathiri wewe tu bali hata uzao wako, majirani zako, nchi yako na unajisi mwingine mwingi chini ya mbingu.
Fikra hizi ndio zinapelekea watu kunyanyapaa walio na matatizo, pia wengine badala ya kutafuta tatizo (mfano watoto wanakufa kwa kifaduro au uzembe wa kutokutumia net wanaumwa na mbu) kwa kusingizia mapepo.., kumbe huenda Dosage ya malaria au kujali afya zao kungeepusha vifo
kupenda kwa dhati ndiko kukoje? Kipimo ni kipi???
Endelea kuongea fikra zako za kibinadamu na usimame nazo uone zitakufikisha wapi. Hivyo vifaduro vyako na vifo nimekuuliza chanzo chake nini na nimekupa ushahidi wa maandiko unasema huo ni ujinga nadhani wanaosoma mada hii mjinga watamjua tu
Umenifurahisha sana, una Philosophy mind, ndio maana tunasema sometime Life is not fair.watu walipiga goti na wakalamba garasa,mie am begining to question if theres God,and if he is there...he is fair????:shut-mouth::A S 11:
Nawachukia sana waliotuletea dini, badala ya kuwasaidia watu ndio kwanza zimekuja kuwajaza watu ujinga kama vipofu.Mkuu usianze kuchanganya madesa hapa na kuleta imani zako kwenye imani za wengine au wasio na imani.., hapa tunatoka nje ya mada.., tukirudi kwenye issue at hand ambapo unataka kutueleza wote ambao hawafanikiwi kwenye ndoa hawamjui Mungu hivyo vice versa wote wanaofanikiwa wanamjua Mungu (tujikite hapo kwanza).., since imani yako ni tofauti na Hindus, Budhas, wapagani n.k..., nadhani ume-conclude kwamba wapagani, hindus, na mabudha hawawezi kupata mwenza wa kweli, Je ni hiki ndicho unachotaka kutuaminisha ? au imani yako imekupofusha na kuona kwamba wote wasio na imani kama yako ndio chanzo cha matatizo yako na ndugu zako ?
Mkuu usianze kuchanganya madesa hapa na kuleta imani zako kwenye imani za wengine au wasio na imani.., hapa tunatoka nje ya mada.., tukirudi kwenye issue at hand ambapo unataka kutueleza wote ambao hawafanikiwi kwenye ndoa hawamjui Mungu hivyo vice versa wote wanaofanikiwa wanamjua Mungu (tujikite hapo kwanza).., since imani yako ni tofauti na Hindus, Budhas, wapagani n.k..., nadhani ume-conclude kwamba wapagani, hindus, na mabudha hawawezi kupata mwenza wa kweli, Je ni hiki ndicho unachotaka kutuaminisha ? au imani yako imekupofusha na kuona kwamba wote wasio na imani kama yako ndio chanzo cha matatizo yako na ndugu zako ?
Okay.. Siri ni kumjua Mungu ila sababu watu hawafati ndoa zote zipo juu ya mawe (in short hakuna mchumba wa kweli au ?) sababu watu hawafati kanuni..Mimi nasema siri ya kumpata mchumba wa kweli ni kumjua mungu na wala si kufata mawazo ya wanadamu kila mtu anaibuka na lake akili yake inavyomtuma. Bila mungu hakuna lolote na hakuna njia ya mkato; watu wanazikwepa kweli za mungu na kuingiza mawazo yao binafsi ndio mana ndoa zote chini ya mbingu ziko juu ya mawe.
Okay wewe ukiwa na Mungu utapata mchumba wa kweli.., na usipopata labda vizazi vyako vilifanya dhambi kwahio labda unaadhibiwa mpaka kizazi cha nne.., sijui wale watu waovu wanaopata Mwenza safi tutaweke kwenye kundi ganiUnaongea JIBU. Ukiwa na mungu na umeyashika maagizo yake juu ya namna ya kuenenda katika maisha haya hakuna baya lolote linaloweza kukupata.Wewe ni sumaku na unavuta yale yanayofanana na wewe mwenyewe ulivyo, kwamba ni mwovu uovu utakuandama na kwamba ni mwema wema tele utakuijilia juu yako. Mtu huvuna alichopanda na atendwaye kuna mahali na yeye alimtenda mtu. Malipo ni hapa hapa duniani na mbinguni baadaye
okay kwahio tuseme duniani wapenzi wamegawanyika katika makundi mawili.., makundi ya waovu na makundi ya wema.., kwa bahati mbaya mwema akipata muovu labda ni dhambi za mababu zake na ndugu zake.. au nimekosea (according to your funny logic )?Umesema kweli kabisa kwa kuwa binadamu ni sumaku na huvuta kile kinachofanana na yeye mwenyewe, kwamba ni mwovu, atavuta mchumba mwovu, na ya kwamba ni mwema atavuta mchumba mwema. Yani mahesabu ni rahisi kabisa namna hiyo, huwezi kuuandama uovu halafu ukakesha unaomba ukataraji kuvuna lolote.
Wewe unaongea kusikia mlio wa sauti yako na unaongea pumba. Mimi nasema ndoa zote chini ya mbingu ziko juu ya mawe hakuna iliyofanikiwa, la hata moja. Pia maisha ya wanadamu wote chini ya mbingu yako juu ya mawe na hakuna aliyefanikiwa,
Mhh ? kustawi maana yake nini ? au kustawi pia ni kupata mwenza wa kweli ? na kama jibu ni ndio na mtu akiamini kiberiti chake au akili zake na akafata maagizo yake atafanikiwa ikiwa pia ni kupata mwenza mwema kwanini we are having this conversation kwamba mtu hawezi kupata mwenza mwema ?.. Comrade mbona naona kama umeamua kupotezeana muda hapa ?Na mind you ninaposema mungu si maanishi mungu yule mmoja mkuu wa ukweli bali namaanisha mungu yoyote aliojichagulia mtu kwamba ndicho mungu wake hata ingekuwa njiti ya kiberiti. Akishikana nayo kiukweli na kutii maagizo yake atastawi tu; kama kamchagua shetani akashikana vyema na maagizo yake atastawi tu.
Wewe ndiye unapoteza mda wako kwa kujiona mjanjamjanja. Nimesema mafanikio au ustawi unaoonekana chini ya mbingu si mafanikio katika uhalisia wake kwa kuwa yanatokana na vuno la uharibifu. Mtu ana mali kadanganya mahali, mtu ana mke au mume lakini wanasalitiana, mtu ana mali lakini mchoyo, ana hasira, muongo, mtukanaji, hana amani, nk. hilo ni tunda la mti mchungu kutokana na pando la uovu.Watu wote ni waovu pamoja na mimi mwenyewe, hakuna mwenye amani wala furaha hata awe ameoa na mali anazo. Duniani hakuna mchumba wa kweli, rafiki wa kweli, mke wa kweli, tajiri wa kweli, wala mwenye mafanikio ya kweli. Labda una mke mrembo, una gari nzuri, kazi ya maana, nyumba nzuri nk na unajiona umefanikiwa lakini huna amani, furaha, una hasira, chuki, ndugu zako wanaendelea kuishi na umaskini wao wakati wewe na mkeo kila mtu anaendesha gari yake, nk Wewe uko ndani ya chupa na hujui maisha haya maana yake ni nini ndo mana una maneno ya akili za kibinadamu. Further than that, mine is not a funny logic, only a person with a spoiled mind would come up with such a cantankerous conclusion. I cited a living anology which arose out of the Adamic perversity and which is handed down generations immemorial for every soul to taste of death. Now out of shear blindness my colleague herein disputes the doctrine of heredity conditions. Na kukufafanulia ustawi means to prosper na lolote unalofanikisha maishani linakufanya uwe prosperous; inajumuisha desires zako zote ulizofanikiwa kuzipata.Okay.. Siri ni kumjua Mungu ila sababu watu hawafati ndoa zote zipo juu ya mawe (in short hakuna mchumba wa kweli au ?) sababu watu hawafati kanuni..
Okay wewe ukiwa na Mungu utapata mchumba wa kweli.., na usipopata labda vizazi vyako vilifanya dhambi kwahio labda unaadhibiwa mpaka kizazi cha nne.., sijui wale watu waovu wanaopata Mwenza safi tutaweke kwenye kundi gani
okay kwahio tuseme duniani wapenzi wamegawanyika katika makundi mawili.., makundi ya waovu na makundi ya wema.., kwa bahati mbaya mwema akipata muovu labda ni dhambi za mababu zake na ndugu zake.. au nimekosea (according to your funny logic )?
Okay kwahio in short ungemwambia mleta uzi aache kutafuta sababu anachofanya hakiwezekani ndoa yake haiwezi kufanikiwa wala maisha yake hayawezi kufanikiwa..., lakini thinking again labda wewe hauna shukrani wala uridhiki unatamaa ndio maana upo so pessimistic.. na kwako hata iweje unajiona hujafanikiwa.
Mhh ? kustawi maana yake nini ? au kustawi pia ni kupata mwenza wa kweli ? na kama jibu ni ndio na mtu akiamini kiberiti chake au akili zake na akafata maagizo yake atafanikiwa ikiwa pia ni kupata mwenza mwema kwanini we are having this conversation kwamba mtu hawezi kupata mwenza mwema ?.. Comrade mbona naona kama umeamua kupotezeana muda hapa ?