N neindiwe Member Joined May 21, 2012 Posts 33 Reaction score 22 Apr 19, 2014 #1 Natafuta msichana mrembo awe mchumbana twende kwenye ndoa. Sifa. Awe mrembo. Rangi yeyote. Asiwe mfupi sana. Awe na elimu kuanzia form four mpaka chuo kikuu. Awe mkristo kama ni Muislam awe tayar kubadili dini. Awe na tabia nzuri. Asiwe anakunywa pombe. Mimi ni mrefu. Maji ya kunde. Si mnene wala mwembamba. Nina elimu ya chuo kikuu katika uzamili. kwa sasa ni assistant lecture katika chuo kimoja hapa nyumbani. Nipo serious na kama wewe pia hupo serious ni pm au tuma sms wandwib yahoo .com.
Natafuta msichana mrembo awe mchumbana twende kwenye ndoa. Sifa. Awe mrembo. Rangi yeyote. Asiwe mfupi sana. Awe na elimu kuanzia form four mpaka chuo kikuu. Awe mkristo kama ni Muislam awe tayar kubadili dini. Awe na tabia nzuri. Asiwe anakunywa pombe. Mimi ni mrefu. Maji ya kunde. Si mnene wala mwembamba. Nina elimu ya chuo kikuu katika uzamili. kwa sasa ni assistant lecture katika chuo kimoja hapa nyumbani. Nipo serious na kama wewe pia hupo serious ni pm au tuma sms wandwib yahoo .com.