Mkuu PakaJimmy nimependa comment zako,Yote uliyosema nimeyachukua lakini ukweli ni kwamba hakutoka useja kwa sababu binafsi tuu, bali alihitajika zaidi kutumika mahali pengine kwa manufaa ya wengi na ambapo asingeweza kuendelea kuwa Fr.Ni kwa nia nzuri sana kupita maelezo yangu.Ni msomi wa juu sana kwa kiwango cha kimataifa, Na muda wa kufanya networking hapa bongo ni mdogo sana.Ana busara na ni mwenye maamuzi kuliko unavyodhania,Na wala hakusudii kuoa na kuacha huku na kule namfahamu kwa upeo wangu.