Mchumba - Mwanamke - Karibu

KisakaJr

Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
18
Reaction score
0
Kama kuna mwanamke mwenye uhitaji wa mwanaume ili awe mume wake wa maisha yake, aje Pm tafadhali.
 

Wanawake kwa kutujaribu wanaume, ni kiboko! Sasa weye miaka 35 hujaolewa kisa elimu au?
 
Weeee Songea huko mbali sana, huko tafuta mabinti wa kingoni au wamatengo nasikia wapo vizuri sana! Hata ukimpata muhamiaji wa huko like Chagas' Nyakyusa , Hehe + wabena we funga nao Pingu / ndoa hawatakusumbua . Vinginevyo njoo huku kwetu kaskazini upate raha Za dunia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…