Natafuta Mchumba/Mume

sipinah

Member
May 26, 2016
14
52
Mimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.

Natafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.

Kama una vigezo tukutane PM. Kashfa, matusi na kejeli .

Mbarikiwe sana
 
Sina sura mbaya kama unavyofikiria.. na sio kama sikuwa na mtu kabla.

Mimi nimeishi nje ya nchi kwa mda mrefu na nilikuwa na mwanaume huko ambae pia hakua mtz na dini zetu zilikuwa tofauti.

Familia zote mbili zilishindwa kuafiki hiyo situation ikabidi kila mtu aendelee na maisha yake. Na sasa ndio nimerudi Tanzania nikaona niendelee na maisha mapya
 
Sina sura mbaya kama unavyofikiria.. na sio kama sikuwa na mtu kabla. Mimi nimeishi nje ya nchi kwa mda mrefu na nilikuwa na mwanaume huko ambae pia hakua mtz na dini zetu zilikuwa tofauti..familia zote mbili zilishindwa kuafiki hiyo situation ikabidi kila mtu aendelee na maisha yake. Na sasa ndio nimerudi tz nkaona niendelee na maisha mapya
Unaonekana mjeuri sana wewe kulikuwa hakuna ulazima wa kusema umeishi njee....

Miaka 34+ awe injinia,elimu degree hafu ana mtoto na hajaoa huyo mwanaume hayupo injinia sipinah
 
Sina sura mbaya kama unavyofikiria.. na sio kama sikuwa na mtu kabla. Mimi nimeishi nje ya nchi kwa mda mrefu na nilikuwa na mwanaume huko ambae pia hakua mtz na dini zetu zilikuwa tofauti..familia zote mbili zilishindwa kuafiki hiyo situation ikabidi kila mtu aendelee na maisha yake. Na sasa ndio nimerudi tz nkaona niendelee na maisha mapya
Wee ni Msumbufu sana unaonekana
Uzungu uzungu mwingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom