hakika Nyakati za mwisho zitaambatana na matukio mengi ya kutisha na kuogofya kama yatokeyo kipindi hiki, eee mola waokoe madomo zege / vibogoyo wa tz kutoka midomoni mwa mamba wala watu. yaani mwanaume unashindwa kutongoza wakati kiasili ni wajibu wako , xaxa wewe jamaa hata "popo" wamekushinda? na wakikupigia "goma" lako huwa ndo mnakuwa wa kwanza kulia lia hapa ,oooh walimwengu wabaya. kaza buti hata kama domo zege sikumoja utafanikiwa hata kama uki dingi"u- shaibu'unakunyemelea