Mchumba hataki tufunge ndoa

Na mtoto wenu anaitwa peter au hilo ni jina mnalotarajia kumpa mtoto wenu ?
 
yani huyo jamaa watu wata mu overtake,unaoa mwanamke alafu unamwacha kwao??
 
Sasa hautaki kuchukuliwa bila ndoa si umuambie atafte atakaekubali!!!


Mbona wengine wake zao hawakuolewa na wanamaisha safi tu binti
 
Ipo siku utamkosa hata wa kukwambia mkaishi pamoja.

Kama mahari amelipa wewe unasubiria nini?
Au hadi ucheze kwaito?

Ngoja ngoja uone litalotokea baadae!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fiksi tu anakupiga..ndoa ya kifahari ndio ikoje au ndo nini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…