Mimi nilichomwambia kama uwezo hauruhusu tufanye kitu simple tu hataki,,,, binafsi sina tatizo hata tumalize kufunga ndoa tuje nyumbani tulaleKwa maelezo naona yeye anakwepa gharama ila hapo hapo naona anataka iwe ya gharama pia.
sijaelewa.
Wewe hutaki harusi na sherehe? kama hautaki mbona hii wanaume wengi hatuna shida mnaenda kanisani tu na wazazi wa pande mbili na baba paroko yanaisha.
Siku hiyo hiyo upo kwako.
Mchunguze vizuri.Mimi nilichomwambia kama uwezo hauruhusu tufanye kitu simple tu hataki,,,, binafsi sina tatizo hata tumalize kufunga ndoa tuje nyumbani tulale
Yeye ndio hataki kufanya hivyo anataka tuishi tu sasa hv ajipange taratibu afanye babu kubwa
kiaje daby?Mchunguze vizuri.
Nimeangalia avatar yako nikafuta nilichokua naandikaMbona una haraka saana na ndoa inawezekana age go ww sasa mpaka mwakan utakuwa age expiry
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazazi wanasemaje kwa hili?kiaje daby?
mi nawaza kama kioaumbele chake nikuoa angesitisha ujenzi kwanza sababu nyumba yakuishi nzuri tu IPO angesitisha baada ya kumaliza swala la ndoa anaendelea na ujenzi
hataki yeye anataka tukubaliane aje na gali abebe vitu vyangi nihamie kwake
Dharau sio zarau