hahahah sio kweli banaaa...unamsomesha na mimba juu
Hachelewi kukwambia sio yako kwakuwa
1. Utalipia ada na matumizi ya kawaida shuleni
2. Kuna msaidizi atakusaidia kumlipia nauli na chakula pengine
3.kuna msaidizi yeye atahusika na nguo starehe na outings
4. Atakuwepo kipenda roho huyu ni mtumiaji tu asiyechangia chochote. Maungo kiuno miuno ndio pake
Vijana mna kazi!
hahahah sio kweli banaaa...unamsomesha na mimba juu
hahaaa yaan unavyohofia akat kuchapiwa sir ya ndanHachelewi kukwambia sio yako kwakuwa
1. Utalipia ada na matumizi ya kawaida shuleni
2. Kuna msaidizi atakusaidia kumlipia nauli na chakula pengine
3.kuna msaidizi yeye atahusika na nguo starehe na outings
4. Atakuwepo kipenda roho huyu ni mtumiaji tu asiyechangia chochote. Maungo kiuno miuno ndio pake
hahaa kabla ujaanza kumpeleka shule unahakikisha umeshafanya mambo banaaUnasomesha unajiandaa kutia mimba wenzako wameshawahi!
charty unajua hakuna kitu kinachouma kama hicho....unajua kiasili Mungu wetu alimletea Adam mwanamke mmoja tu(Eva)na Eva naye alipewa mwanaume mmoja tu (Adam)ni kitu cha kiasili mnohahaaa yaan unavyohofia akat kuchapiwa sir ya ndan
hahaa kabla ujaanza kumpeleka shule unahakikisha umeshafanya mambo banaa
mshana jr siku hiz watu wamekosa hofu ya mungu...na wamehalalisha uzinz kua kitu cha kawaida ndo maana ndoa za siku hiz hazidumcharty unajua hakuna kitu kinachouma kama hicho....unajua kiasili Mungu wetu alimletea Adam mwanamke mmoja tu(Eva)na Eva naye alipewa mwanaume mmoja tu (Adam)ni kitu cha kiasili mno
ndio usipotia mimba wenzio watakuwah hapo ndipo utakapoona uchungu wa mchumba amavubimimba juu?????????????????????????
Mshana, si unajua kuhesabu? Sasa unafarijika nini wakati kila kukicha unahesabu siku, wiki, miezi and then miaka ya umri wako! Unaijua hivyo huna la kufarijika maana umri haugandi-siku hazigandiDuu kumbe nami nimo kwenye kundi la vijana? Nimefarijika mno ngoja nitinge viwalo niende bills