Mchumba anataka mimba itolewe

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Huyu shost alikuwa na danga la kizungu akijua mambo safi atakuwa mke wa mzungu soon, jamaa amepata uhamisho kwenda Adis anamwambia shost it's over between them. Baada ya maneno yale shost mshtuko ameanza kupata na morning sickness, kumbe makinikia ya mzungu yanaendeleza uhai tumboni.

Shost mzuri ni wale madada wa mujini. Sasa amekutana na mmbongo na ameelezwa kuhusu mimba mbongo anasema ingekuwa mimba mmatumbi asingejali sasa yeye aje kulea katoto ka kizungu itakuwaje anataka shost sitoe mimba.

Shost ndoa anaitaka lakini kukata mimba ukiwa 30+ alafu mtu anakwambia uiflash nayo ni habari nyingine.
 
HAKUNA JINSI APO, HUO NI USAJIRI DIRISHA DOGO KWA SINGLE MOTHERS' TEAM
 
Asitoe hiyo mimba,amueleze huyo mzungu kuhusu huo ujauzito akikubali poa na akikataa bado kuna maisha.

Huyo baby mpya apambane na hali yake tu hamna jinsi hahaahhaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitoe hiyo mimba tafadhali,usitoe, wakati mwingine ndiye mtoto wako wa pekee huyo.Imewahi kunitokea, kuna mtu alitaka kutoa mimba, nikamwambia vivyo hivyo, na mpaka sasa ndivyo ilivyo
 
Kama anafikiria kutoa atakuwa hajielewi, bora azae. Hiyo ndoa hakunnauhakika kama na hiyo mimba itamjia tena na pia huyo mwanaume ataweza kumbwaga na kuzaa na mwingine kama yeye hatazaa. Mwambie ajitulize azae, hakuna raha ya mwanamke kama kuwa Mama hata ukiolewa na wanaume mia mbili. Na mwenye mtoto atamuhudumia tu. Hajui kama ndio hiyo hiyo mimba ya kumletea baraka na watoto wengine mbeleni... kuamini mwanaume haswa mbantu ni tatizo kubwaaaa ni vigeugeu. Kuna wanaume watamjali kama akibarikiwa. Azae aleee na baba mtoto naamini atamsaidia. Lazima alikuwa na kejeli kwa huyo Mzungu sio bure, ila yamepita ajinyooshe sasa.
 
Tena mapenzi yenye masharti yana walakini
 
Usitoe hiyo mimba tafadhali,usitoe, wakati mwingine ndiye mtoto wako wa pekee huyo.Imewahi kunitokea, kuna mtu alitaka kutoa mimba, nikamwambia vivyo hivyo, na mpaka sasa ndivyo ilivyo
Si mimi mkuu ni shost lakini haya nitamfikishia
 
Show me your friend(shosti), and I'll tell you who you are.[emoji12] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…