unastahili tindikali... unastahili eeeenh! unastahili kumwagiwa asidi, unastahili eenh!
aisee wewe ni mother killer! siku-imagine jinsi flow ilivyoenda na wewe ulivyokuja ku-react!
@Nchaby ni bora ukakosea kuchagua mchumba kuliko kukosea kuchagua mke. Utaishi maisha ya shida sana ukikosea kuchagua mke.
Kaa chini tafakari kati ya hao ninani anayekufaa kuwa mkeo na mtaishi kwa amani, furaha na kusikilizana. Mwisho huyo anayefaa ndiyo umuoe, usioe sababu fulani ametaka bali moyo wako umeridhia fulani awe mkeo na ana vigezo vyote vya kuwa mke.
Nakutakia kila la kheri.
Excel unanionea bure. Mie nimetenda baya gani mpaka unihukumu na adhabu hiyo ya kumwagiwa tindikali??
Mie natekeleza makubaliano yetu ya tangu tulipoanza mahusiano. Iweje leo hii nionekane mbaya?
Kwanini unashindwa kuuona ukweli, kasema mwenyewe anataka mahusiano tu lakini kuolewa na mimi kamwe hataki. Leo namtangazia kumpata wangu wa maisha, yeye anacharuka mpaka kufikia kunitishia maisha.
Binadamu kwanini tunaoneana namna hii??
Nimempata dada mmoja very simple and woman material ninachokiwaza, ndicho na yeye huwaza.
mkuu wewe ni mwanaume, tabia za wanawake huzijui? huyo ndo wa kwanza wako? ushaona wanawake wanakubali moja kwa moja kwenye mambo ya amahusiano kama hayo?
unafikiri toka stae ya kwanza unamwambia uwe mpenzi akagoma, kilichomlegeza mpaka ukamla PAPUCHI ni nini?
kwanini usingeenda nae pole pole na kumweleza lengo lako kuu la kuoa?
kwanini huku-introduce pete at first aone commitment yako kwake?
Aksante sana mkuu Evarm. Kwa hakika nimekuelewa.
unamaanisha Apaikunda ni kinyume cha huyu wa sasa?
wakati unambembeleza hukuyaona mapungufu haya?
au ndo ile "Give a dog bad names and kill it?"
Sikia kak..pole kwanza kwa hayo majanga
Nimesom coment za watu na story yako vizuri. Hapo hauna kosa hata punje before sijaendlea ningependa sema kitu kwanza its bettr huyo unayetak kumuoa kaa naye chini kiustarabu na kiupana mueleze kuwa hali ilivyo then hata likitokea tatizo atakuwa pamoja nawe kulitatua .
Pili ni wanawake na man huwa hawapendi kupoteza kitu hata ukiwa na gal ambaye hukumpenda akija kusem kampata mtu mwingine huwa inauma bt reaction zinatofautian kutokan na matarajio aliyo jiwekea kwako na jinsi alivyo jitoa kwako pia
Sasa hiyo ni reaction ya kawaida tu usiogope at all kuna kanun about natural atraction kuwa ktu unafikiria san kina asilimia kubwa kutokea so linaweza kutokea tatizo kwa hofu yako tu.
Tulia tu fanya mambo yako na ukiamin kuwa hakun kosa ulilofany na laana na mikosi haziwez kukufikia .
Nimempata dada mmoja very simple and woman material ninachokiwaza, ndicho na yeye huwaza.
Huyo uliyempata amemzidi Apaikunda umbo na hayo macho au? maana ulivyomsifia wakati hata mm ninavyo sema tu nimevifungia kwenye bag..!
Lakini mkuu lengo lake na mimi haikuwa kuoana. Na yeye mwenyewe ndiye aliyesema kuwa hakuna kuoana!
Sasa mie nikaendelea na kutafuta wangu wa maisha. Nimempata, sasa yeye ananitishia! Ndo nini sasa! Mbaya zaidi ni mmachame. Hapo ndo nachanganyikiwa kabisa.
Mkuu LILENDI kwa kifupi Apaikunda sifa zote anazo. Tatizo ni kuwa tangu mwanzo alisema mie nijiegeshe tu kwani anaye wakumuoa na anampenda sana.
Kila nilichomwambia jibu lilikuwa moja tu 'umechelewa, ninaye mchumba wa kunioa tayari ambaye wazazi wa pande zote wanatambua. Hivyo futa kabisa fikra za kunioa'.
Nilikubaliana naye atakavyo. Na vilevile nikawa naendelea kutafuta nani wa kunifaa maishani. Mpaka alipotokea huyu Jane ambaye yuko tayari kuwa nami katika maisha yangu yote.
maswali ya msingi sana hayaKwa maelezo yalivyo uhusiano wenu una kama mwaka na nusu hivi, kweli kwa muda wote huo usijue kwamba kaachana na bwana yake?(kama alikuwepo). Kwa kipindi chote hiki asigusie kumove to the next step kama kweli alikuwa/ana na mpango wa kuolewa na wewe?!