Mchoraji maridadi"

Kazi nzuri.

Tafuta graphic pencil 2B , 3B , 6B na 4H. Zitakusaidia kwenye shading. Na punguza haraka ya kumaliza picha.

Zingatia mazoezi zaidi.
Asante kwa ushauri wako....... Ila fahamu pia kuwa hizo ni sample za picha tu, ambazo hazijachukuliwa kwa high quality camera,,,, so please don't judge a book by its cover
But shukran kwa ushauri wako mdau
 
hivi mkuu naomba kuuliza kama mtu hujui kabsa kuchora kwa pencil unaweza ukafundishwa na ukajua???? au kipaji tu mpaka uzaliwe nacho????
 
!
!
Unavyoonekana ni kada. Hizi picha ukizipeleka Lumumba utatisha zaidi. Mchore pia Polepole na Makonda.
 
kuna makosa mengi sana ya uchoraji nayaona apo....kama
vifaa hafifu..upakaji wa vivuli ambao unaambatana na uchafu....nakushauri # uongeze bedii kweny ayo maeneo pia#

tumia rangi inafanya picha ziwe na muonekano mzuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…