Alpha arts
Member
- Oct 13, 2017
- 10
- 11
Ipi iyoNinaona tu picha ya Vodacom Pindua Pindua au ndiyo hii umechora?
Mimi nipo tegeta Dar es salaamUnapatikana wapi?
Ofisi rasmi hapana sina..... Maana mimi ni mwanafunzi wa chuo, kwaiyo nakuwa nafanya kazi hii wakati nikiwa freeKazi nzuri ndugu yangu, vipi una office?
ShUkran sanaHongera kiongozi