Nimejulishwa na wakili anayesimamia jopo la utetezi kutoka THRDC kuwa leo Jamhuri itampeleka Optter mahakamani.
Optter ameshikiliwa zaidi ya siku 10. Pamoja na tuhuma za kimtandao, amebanwa kuelezea ukaribu wake na Kigogo14.
Balozi mbalimbali nchini na wapigania haki kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni wanafuatilia sakata hili.
Tutaendelea kuweka updates kadiri zinavyojiriView attachment 1963283
Chief tuweke tuioneHii kesi wanaenda kujidhalilisha tena mahakamani. Katuni imechorwa mwanamke anachezea maji nyuma yake Kuna jamaa ameandikwa neno KIWETE mgongoni hapo unaweza kutoa kila aina ya tafsiri.
Hii wanapoteza muda na kumsumbua kijana wa watu.
Kwa kweli, mpaka ashike adabuTena wamle masaburi kabisa huyo, hana adabu!
HahahahaLifungwe tu Hilo shwain
Wapuuzi sana hawa wakati mwingine, kazi ni kuzushia na kudhalilisha watu tu!kwa kweli, mpaka ashike adabu
Sheria ipo sema wanaifumbia machoHalafu Hakuna kuwajibika,mtu unamshikilia zaidi ya siku 10 kinyume na sheria halafu maisha yanaendelea tu!Jeshi letu linaongoza kwa kukiuka sheria!
Mimi ningependekeza itungwe sheria kila mtuhumiwa anapofikishwa mahakamani basi swali LA kwanza kutoka kwa Hakimu/Jaji liwe amekamatwa lini ?Kama muda umezidi saa 48 basi taarifa iingizwe kwenye mfumo maalum!Kianzishwe chombo cha kutrack hizi taarifa na kuwashughulikia polisi!
Ashughulikiwe ipasavyo Ili iwe fundisho na Kwa akina Masudi na wengineNimejulishwa na wakili anayesimamia jopo la utetezi kutoka THRDC kuwa leo Jamhuri itampeleka Optter mahakamani.
Optter ameshikiliwa zaidi ya siku 10. Pamoja na tuhuma za kimtandao, amebanwa kuelezea ukaribu wake na Kigogo14.
Balozi mbalimbali nchini na wapigania haki kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni wanafuatilia sakata hili.
Tutaendelea kuweka updates kadiri zinavyojiriView attachment 1963283
Kama anavyoliwa maza'ako?
Hii wanajidhalilisha tu on a serious note hakuna kesi hapo. Kuna kundi linaanza kumgombanisha mama na waandishi wa habari bila yeye kujua na hiyo atakuja kustuka tayari wakati ameingia kwenye list ya madikteta. Ajichunge sana na kesi za kipuuzi kama hizi ambazo tulizoea enzi ya Utawala wa Magufuli.
Kwani kigogo si yupo com?Nimejulishwa na wakili anayesimamia jopo la utetezi kutoka THRDC kuwa leo Jamhuri itampeleka Optter mahakamani.
Optter ameshikiliwa zaidi ya siku 10. Pamoja na tuhuma za kimtandao, amebanwa kuelezea ukaribu wake na Kigogo14.
Balozi mbalimbali nchini na wapigania haki kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni wanafuatilia sakata hili.
Tutaendelea kuweka updates kadiri zinavyojiriView attachment 1963283
Hii kesi wanaenda kujidhalilisha tena mahakamani. Katuni imechorwa mwanamke anachezea maji nyuma yake Kuna jamaa ameandikwa neno KIWETE mgongoni hapo unaweza kutoa kila aina ya tafsiri.
Hii wanapoteza muda na kumsumbua kijana wa watu.