Bila picha iliyo pembeni hapo, one can hardly know kwamba aliyechorwa ni jokate... next time utume picha ya kuchora pekee, degree ya urahisi wa kumgundua aliyechorwa ndio iwe kipimo cha ujuzi wako.
Kumbe sio Jokate?Bila picha iliyo pembeni hapo, one can hardly know kwamba aliyechorwa ni jokate... next time utume picha ya kuchora pekee, degree ya urahisi wa kumgundua aliyechorwa ndio iwe kipimo cha ujuzi wako.
Soma comment yangu juu hapo.Hiyo 20% inakwenda wapi?
Nasema namna pekee iliyonifanya nijue kwamba kachorwa jokate kirahisi ni kwa sababu ya picha ya jokate iliyo pembeni.. ufanisi wake wa kuchora naona umepungua kwa 20%...Kumbe sio Jokate?
Kakosea kidooogo midomo yote miwili, wa juuu na wa chini
Naona utata umekuja nao mpaka huku lol.Moja kwa moja kwenye kichwa cha habari "amepetia" amepatia wapi?
Sio amepatia nini!
Kuna picha aliyochora mchoraji.Hakuna mchoraji hapo.