Umepiga kwenye mshonoNashindwa nianzie wapi kukujibu.
Miradi hiyo ya pesa nyingi ipo na ilikuwepo na itaendelea kuwepo
Trillion 1.3 ni ndogo sana, wala hakuna kinachochemshww hapo
Jaribu kufikiria sasa hivi tu kuna miradi inaendelea ya
Nashindwa nianzie wapi kukujibu.
Miradi hiyo ya pesa nyingi ipo na ilikuwepo na itaendelea kuwepo
Trillion 1.3 ni ndogo sana, wala hakuna kinachochemshww hapo
Jaribu kufikiria sasa hivi tu kuna miradi inaendelea ya
Hiyo miradi yote hapo juu ni zaidi ya Trillion 10, kwa nini usifikiri kuzipata hizo uje ufikirie kupata kwenye hii trillion 1.3?
- SGR
- JNHPP
- Madaraja makubwa ya kigongo, wami, selander
- Flyovers zinaendelea
- Ujenzi wa hospitals
- Ujenzi wa barabara
- Mwendokasi
Lengo langu nataka nikueleweshe kuwa miradi mikubwa sio sababu ya wewe kupata pesa.
😳😳😳😳😳. Mh Rais amekemea Udokozi. Mi najua ni mweupe sitaki tena kuona Rangi nyingine zaidi ya hiyoWana gawana hela ya mboga
Ndjo maana nikakuambia sahau kupata chochote kwenye hiyo trillion 1.3Tatizo kubwa ni uwazi katika hiyo miradi. Ajira zipo Lakin hatusikii zinatangazwa kama hufahamiani na Engineer yeyote kwenye Mradi husika utabakia kusikia Mradi umefika asilmia 54 na usijue hata ulikoanzia. Ndo maana nikasema tupeana uzoefu na michongo ya Namna ya ku penetrate kwenye hiyo hiyo miradi.
Eeh Mungu nisaidie. Eeh Mungu tusaidianeNdjo maana nikakuambia sahau kupata chochote kwenye hiyo trillion 1.3
Hiyo pesa itanunua ambulance , wewe sio muuza ambulance
Itanunua sijui magari ya kuchimba visima, wewe sio muuza magari
Itajenga hospitals, wewe sio mkandarasi.
Itajenga shule, wewe sio mkandarasi.
Kwa kifupi kaa kwa kutulia, uangalie wenye meno wakiendelea kugawana.
Safi umemjibu vizuri huyu mataga anashoboka tu hata TIN no. hanaNdjo maana nikakuambia sahau kupata chochote kwenye hiyo trillion 1.3

Anashindwa kuelewa kuwa hapo tayari watu washamaliza kazi,Safi umemjibu vizuri huyu mataga anashoboka tu hata TIN no. hana
Ndjo maana nikakuambia sahau kupata chochote kwenye hiyo trillion 1.3
Hiyo pesa itanunua ambulance , wewe sio muuza ambulance
Itanunua sijui magari ya kuchimba visima, wewe sio muuza magari
Itajenga hospitals, wewe sio mkandarasi.
Itajenga shule, wewe sio mkandarasi.
Kwa kifupi kaa kwa kutulia, uangalie wenye meno wakiendelea kugawana.
Hata kibarua kama huna connection sahau, alafu utanikuta kavaa litishirt la kijani anasifu na kuabuduAnashindwa kuelewa kuwa hapo tayari watu washamaliza kazi,
Wanasubiri 10% tu
Hutajua ni kampuni gani imepewa tender ya hayo magari
Utaona tu wachina wapo busy wanajenga hospitals na barabara
Labda Kama anataka kuwa kibarua
The current metro area population of Zanzibar in 2021 is 735,000, a 4.26% increase from 2020. The metro area population of Zanzibar in 2020 was 705,000, a 4.14% increase from 2019.Great thinkers mambo vipi.
Naomba niende Moja kwa Moja kwenye kiini.
Mheshimiwa Rais amesema Kuna fedha shiling Tilioni Moja na bilioni mia tatu zinakwenda kuchemsha Nchi. Sasa jameni hebu tupeana uzoefu na michongo ya namna ya kunufaika nazo kihalali kabisa. Yaani kama ni ajira tenda au uzambazaji vifaa.
Nimeona kwenye magezeti kwamba Kuna magari zaidi ya Mia tatu yataingia kwenye shughuli unganishi ya hizi fedha. Means Kuna Madereva watahitajika. Kuna ujenzi mafundi lakini pia vifaa vya ujenzi.
Lakini yote kwa yote Pesa hizo zinatakiwa kutumika kwa miezi tisa tu hapa ndiko Utamu unakolea 😂😂 kwa maana hiyo wakati Mimi naandika hapa labda tayari mgawanyo umeshaanza.
Guys tupeana michongo au tekniki za kula keki hii ya Nchi kwa udhamini wa IMF.
ASANTE SANA
Lazma kuna kitu kawapa! Tony blair hawezi kuja bongo kizembe yani kuna jambo haliko wazi mahali ila wataumbuka kama kawaida!Hela ndefu sana hii mama sijui kauza nin, ela za hawa jamaa lazima ziwe na conditions.
Awauze CCM tuLazma kuna kitu kawapa! Tony blair hawezi kuja bongo kizembe yani kuna jambo haliko wazi mahali ila wataumbuka kama kawaida!
Blair atalipitisha fungu huko Jakaya Kikwete foundation hivyo hamuwezi kuwaumbua!Lazma kuna kitu kawapa! Tony blair hawezi kuja bongo kizembe yani kuna jambo haliko wazi mahali ila wataumbuka kama kawaida!