mchongo,mchongoni.

mchongo,mchongoni.

Joined
May 12, 2017
Posts
38
Reaction score
14
Habari zenu,wakuu.
Naimani wote mpo salama kabisa. Mimi ni kijana wakiafrika, shughuri zangu ni upambaji na kutoa huduma za vyakula (decoration and catering services), katika shughuri mbalimbali za harusi,send off,kitchen party, mikutano, vipaimara, komunio, misiba n. k.
Napenda kutoa fursa,kwa jamii inayonizunguka."Mtu yoyote yule, atakayeweza kunipatia au kuniunganisha na shughuri hizo zilizotajwa hapo juu,atakuwa amefanikiwa,kupata zawadi ya fedha taslim, yenye kiwango cha asilimia 10% ya malipo ya shughuri husika".
Kwa mawasiliano zaidi,piga simu namba:0762962872 au 0718385831.
WOTE MNAKARIBISHWA

ASANTE



Sent from my A8 using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana kwa mipango mizuri watu kama nyinyi wa dizain hii wachache sana

Sent from my EVA-L19 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom