Mchoma chips mtaalamu wa kiwango anahitajika

alumn

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
2,369
Reaction score
3,177
Kichwa cha habari kinajieleza, nahitaji mtaalamu wa Kuchoma chips, na nyama haraka iwezekanavyo

Kigezo: uwe mtaalam na Fundi

Malipo: 12000Tshs kwa siku na malupulupu kibao

Upo tayari na una viwango njoo pm.

Mahali pa kazi : posta

Karibuni..
 
Nicheki mkuu 0716 928 800
 
Kichwa cha habari kinajieleza, nahitaji mtaalamu wa Kuchoma chips, na nyama haraka iwezekanavyo

Kigezo: uwe mtaalam na Fundi

Malipo: 12000Tshs kwa siku na malupulupu kibao

Upo tayari na una viwango njoo pm.

Mahali pa kazi : posta

Karibuni..
nipo hapa mtaalam 0692014483 0767959073
 
Kichwa cha habari kinajieleza, nahitaji mtaalamu wa Kuchoma chips, na nyama haraka iwezekanavyo

Kigezo: uwe mtaalam na Fundi

Malipo: 12000Tshs kwa siku na malupulupu kibao

Upo tayari na una viwango njoo pm.

Mahali pa kazi : posta

Karibuni..
Vipi mkuu ushapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…