kwanza jua ndio zuri linalainisha mashineNa jua lote hili?ilikuwa nje au ndani?mzungu alikuwa wa jinsia gani?
Wabongo kwa umbeya siwawezi. Wakati nipo kitongonji cha chwiyepo south china. Hivi vitu kawaida. Hamna kushangaana. Kila mtu na hamsini zake. Sasa bongo watu wanaacha shughuli zao wanashangaa shangaa. Kweli tutapata maendeleo?
Nipo hapa ofisini gafla nikaona watu wanakimbilia madirishani na mie si nikaungana nao looh jamaa walikuwa wanapiga mambo yetu yale juu ya gorofa lililopo keep left ya askari panaitwa spot lounge near azania bank. Mchina alipomaliza wakavaa haooo wakajiondokea.