Mchina kaniibia Mali yangu

Utaonekana kama unachekesha lakin ni kweli. Mwanamke akijua uko deep kwake.. anakuwa boerd. Anaanza kutafuta mtu wa nje.. ambae atamuangaisha akili yake(bad boy).
Yaani huwa inashangaza .. sasa sisi wengine huwa hatuwezi kuwa ma-bad boy ..hii kitu ipo ndani yetu ..
 
Lazima demu ajae kwa mchina tu huyo maana mchina anagegeda haswaa ili kuwakilisha taifa lake.
 
Ni kweli ya hovyo ila hamna namna.
 
Mzee baba kama unagongewa na mchina utakuwa upo dhaifu sana iwe kimaumbile au ki fedha
 
Yaani huwa inashangaza .. sasa sisi wengine huwa hatuwezi kuwa ma-bad boy ..hii kitu ipo ndani yetu ..
Sijui lakin nahisi kuna error in genetics.
Binafsi kwa experience yangu. Ni wanawake wachache sana nilioonyesha love wakanielewa.. wengi wao walianza kunichukulia powa. Ukiwauliza nn walikosa hawana majibu
 
Udhaifu huo ndio mnyang'anye vitu mbona tunda umekula ulitaka akulipaje
 
Mkuu umekosea kumnyang'anya vitu ulivyomnunulia cos Kuna good moments mlienjoy pamoja, ungemwachia tu Kila kitu then unaamua kumuacha or azawaizi.....umemkosea
 
looo wajinad kuchukua mali zako...sasa ulimpa za nin?roho ya umaskin hyo
 
Acha utoto... Hahaha eti ukamnyang'anya kila ulichomnunulia.
Nnavyofahamu wachina hawana midushe kama ya wanaume wetu, kwahiyo sio sex aliyoifuata.. Angalau jifariji hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…