Hawataki mtu mwenye mapenzi ya ukweli kama wewe!
Sasa nimeongea kigentlemen na huyu mchina. Ili kuimalisha deplomasia kati ya Tz na China nikampotezea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] baba umeuwaumefanya vzr kuimarisha diplomasia pasina vurugu, mwache akafie Guangdong huko , Shenzhen kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahah kwahio malaya wako kakimbilia uchina baada ya kuchoka pepo ya bongo!?
Oya tuondolee ungese basi, hio app tunaijua huna sababu ya kutujazia mitangazo ya ajabu humu. Moderator fungia huyuDownload TALA app
Hii ni njia bora ya kupata mkopo wa papo hapo!
Tumia namba ya mualiko 1JG1PN6.
Pata mkopo sasa: install app kwa link hii http://inv.re/79pcu
Kwenye sehemu ya promo code/referal code weka hii 1JG1PN6
Unawezeshwa kianzio cha elfu hamsini
Tumia mualiko uanze na mkopo wa elfu hamsini
Masharti ya malipo kuzingatiwa
MKOPO WA HARAKA KUPITIA TALA MPAKA 500,000/=
Download TALA app
Hii ni njia bora ya kupata mkopo wa papo hapo!
Tumia namba ya mualiko 1JG1PN6.
Pata mkopo sasa: install app kwa link hii http://inv.re/79pcu
Kwenye sehemu ya promo code/referal code weka hii 1JG1PN6
Unawezeshwa kianzio cha elfu hamsini
Tumia mualiko uanze na mkopo wa elfu hamsini
Masharti ya malipo kuzingatiwa
MKOPO WA HARAKA KUPITIA TALA MPAKA 500,000/=
Kiukweli naandika kwa masikitiko sana. Toka muda huyu mchuchu nilikuwa nahisi kama kuna kitu hakiko sawa. Sasa badala ya uchunguzi wangu wa kiintelijensia nikamfuma yuko na mchina. Sasa nimeongea kigentlemen na huyu mchina. Ili kuimalisha deplomasia kati ya Tz na China nikampotezea. Ila nimeamua kudeal na huyu mpuuzi. Sasa huyu mbwiga jana kaja home leo kapiga menu na nikaamua kumnyanganya kila nilichomnunulia akafie mbali.
Hivi nyie wadada mnamatatizo gani?