Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 69,889
- 183,960
Habari wadau,
Katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na hili nkaona sio mbaya kuja kushare nanyi. Kwa hakika mchina sio mtu mzuri, sikujua kama angeweza kufanya kitendo hiki cha kuiabisha kampuni kubwa yenye heshima duniani ya Jaguar Land Rover kwa kufanya copycat ya ile Range Rover Evoque na kuiita yake Land Wind. Hebu tizameni muone utundu huu mi nilijua kaishia kwenye simu tu na tv, kumbe daahh......
Mwisho kabisa tutoe credits yupi katisha kati yao wawili JLR- Evoque au Mchina Land Wind?
Versus Land wind,