Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,069 Reaction score 34,839 Aug 23, 2012 #1 Mchicha (Swiss Chard) Na Bamia Vipimo Majani ya Mchicha (Swiss Chard) 4 - 5 Bamia 150 - 250g Chumvi 1 kijiko cha chai Mafuta ya zaituni ½ kikombe Maji 1 gilasi Kitunguu maji kilokatwakatwa 1 Namna Ya Kutayraisha Na Kupika Katakata sehemu ya juu ya majani ubakishe majani pekee. Osha majani kisha katakata kama mchicha wa kawaida . Tia mboga katika sufuria, maji na chumvi chemsha kwa dakika 25 hivi. Osha bamia uweke tayari ukiwa umezikata vikonyo vyake. Mboga ikishachemka kurudia chini mimina bamia, kitunguu, mafuta . Acha ichemke mpaka bamia ziwive ikiwa tayari. Kidokezo: Mboga hii ni aina ya mchicha ila hatujui inaitwaje kiswahili, ila tunajua inatiwa Swiss Chard.
Mchicha (Swiss Chard) Na Bamia Vipimo Majani ya Mchicha (Swiss Chard) 4 - 5 Bamia 150 - 250g Chumvi 1 kijiko cha chai Mafuta ya zaituni ½ kikombe Maji 1 gilasi Kitunguu maji kilokatwakatwa 1 Namna Ya Kutayraisha Na Kupika Katakata sehemu ya juu ya majani ubakishe majani pekee. Osha majani kisha katakata kama mchicha wa kawaida . Tia mboga katika sufuria, maji na chumvi chemsha kwa dakika 25 hivi. Osha bamia uweke tayari ukiwa umezikata vikonyo vyake. Mboga ikishachemka kurudia chini mimina bamia, kitunguu, mafuta . Acha ichemke mpaka bamia ziwive ikiwa tayari. Kidokezo: Mboga hii ni aina ya mchicha ila hatujui inaitwaje kiswahili, ila tunajua inatiwa Swiss Chard.