HouseGirl alipika mchicha ila haukuiva,mama aliporudi wakati anakula akagundua mchicha mbichi,akamwambia housegirl kuwa mchicha haujaiva ila yeye(HouseGirl) akabisha, mama kwa hasira akasema MCHICHA MBICHI, MPISHI MBISHI,
So naomba nawewe useme kwa haraka*MCHICHA MBICHI, MPISHI MBISHI mara 5 ,
start.........​