mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Kama ilivyo kawaida Leo tutashuhudia mchezo mkali baina ya Yanga Na Mtibwa.Watazamaji Na wapenzi wa soka watarajie upendeleo wa wazi wa Waamuzi wetu Kwa timu ya Yanga ili ipate ushindi.Kama tulivyoshuhudia wakati wa mchezo wa Yanga Na Mwadui Na Leo ndivyo itakavyokua .Wachezaji wawili wa Mtibwa watatolewa Kwa Kadi Nyekundu ili kuwapunguza nguvu Mtibwa.TFF Na YANGA OYEeeeee!