Mchezo wa watani wa jadi November 7, 2020

Mchezo wa watani wa jadi November 7, 2020

Nyandajr10

New Member
Joined
Nov 5, 2020
Posts
2
Reaction score
5
Naam Hatimae November 7 iliyosubiriwa kwa muda mrefu Hatimae imewadia ni mechi kubwa inayobeba hisia za wapenda michezo wote nchini pamoja barani Africa kwa ujumla.

📍Ni mchezo wa nne unakutanisha timu hizi katika mwaka huu wa 2020

Kwa Mara ya kwanza mwaka huu timu hizi zilikutana January 4 kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya magoli 2-2
Shukran kwa magoli ya Meddie Kagere na Deo Kanda kwa upande wa simba na Balama mapinduzi &Banka kwa upande wa Yanga.

đź”§Wachezaji wote waliofunga magoli kwenye mchezo huu wa January 4 hawatakuwepo kwenye mchezo wa Leo
📍Mchezo mwingine ulikuwa March 8 mchezo uliomalizika kwa yanga kuibuka na ushindi wa goli 1-0
Shukran kwa goli la wakili msomi Bernard Morrison.

Mchezo huu ulishuhudiwa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania dkt Jonh pombe magufuli
📍Mchezo mwingine ulikuwa ni nusu fainal ya kombe la shirikisho Ambapo Yanga alipasuka goli 4-1
⚽Fraga
⚽Chama
⚽Miquisone
⚽Mzamiru
đź”§Mpaka sasa kocha wa Simba Sven Van De broek ameiongoza Simba kwenye michezo mitatu dhidi ya Yanga
âś… Ushindi 1
❌Kufungwa 1
Draw 1
Huku kocha wa Yanga Cedric Kaze akitarajiwa kuongoza Yanga kwenye mechi yake na Simba kwa Mara ya kwanza

đź”§Wachezaji wa kuchungwa Sana kwenye mchezo wa Leo kwa upande wa simba ni Luis Miquisone na Clatous Chama
Huku kwa upande wa yanga ni Farid Mussa na Mukoko Tonombe

đź”§Mechi hii itakayochezwa majira ya saa 11 jioni itachezeshwa na waamuzi 6 huku mwamuzi wa Kati akiwa Elly Sassii
 
Back
Top Bottom