Baada ya mateso mengi ni faraja....wakati mwingine ndivyo anaonekana Mzee Juma Duni Haji ambaye sasa ni waziri katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Leo nimeomuona amesimama kwenye jukwaa la Umoja wa Mataifa mjini New York akihutubia....
Kwa wale mnaofuatilia siasa za Zanzibar mtakumbuka mateso aliyoyapata huyu baba...nadhani yeye inaweza kuwa mara mbili ya Seif Sharif Hamad kuteswa na vyombo vya dola.