Mchezaji wa Baroka FC Abdi Banda afunga ndoa na dada wa mkali wa Bongo Fleva Alikiba

Naona makaka wa Bo.Harusi wamekenua kwa maaana ya kucheka na kufurahi. Wahenga wa kwetu wanasema ni fedheha kaka mtu kufurahia kuolewa kwa dadake... ila kwa kizazi cha fesibuku huenda ni sawa ila wale wahenga mwendo wa mkaushoo tuuuuu, kinachokufurahisha nini? Dadako kwenda kupigwa nanihiiiino au?
Una fikra za kiboya sana.

Kama hujui; kwa Waislam ndoa ni ibada.
 
Alafu mnaishije akivunjwa mguu huko mpiran na wachezaji jamani ni wachafu bora wa kikapu wana.nafuu



Wachezaji wanawekewa bima dada. Halafu unawasema wacheza mpira wachafu, je wanaoolewa na wapiga debe utasemaje?
 
Mchezaji anayekipiga klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini na timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' pia aliyewahi kuzichezea Simba SC na Coastal Union ya Tanga Abdi Banda, alfajiri ya leo Agosti 1, 2018 amefunga ndoa na Bi Zabibu Kiba, ambaye ni dada wa mkali wa Bongo Fleva Ali Kiba kwenye msikiti wa Ahmad Al-Maseeid uliopo Tabata jijini Dar es salaam.View attachment 823966View attachment 823967View attachment 823969View attachment 823968View attachment 823970
Hilo jambia halahala mtu anaweza badili mawazo
 
Back
Top Bottom