Mchepuko wangu kaanza kuchepuka

Dada zetu nachowapendea wana huruma sana.

Atajua una mtu lkn bado anakuonea huruma anaekupa mzigo.
Kwani wanaume mnayaangalia maisha kwa angle gani? Sio nyie mnaoenda kununua ngono mtaani? Hamjui kuwa hapo anapiga kila mtu? Sio nyie mnaotongoza wake wa wenzenu? Tena mmewe unamjua kabisa... Katika haya mambo mie naona tupo ngoma droo. Wanawake wana michepuko na wanaume wana michepuko... Mme akizaa nje ya ndoa anajiona kidume huku kwenye ndoa yake analea watoto wa wenzake πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Mtulie tu wanaume
 
Mwache achepuke maana hata wewe unachepuka...halafu unayomfanyia huyo mchumba wako siyo poa hata ndoa yako itajayumba kwa sababu ya tabia za ajabu ajabu...nyie endeleeni kuchepuka mpe na mimba kabisa
 
Em kunywa bia yoyote chief bili kwangu mpaka tarehe 1 January
 
Jamaan sindo maana nmeanza nanyinyi. Mnaroho nzuri [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Sasa kama "huwezi kumuacha mchumba wako", unataka upewe jibu gani? za kuambiwa changanya na zako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…