Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,607 Reaction score 27,607 Jul 25, 2018 #1 Wengi hufikiria kuolewa na wanaume wazuri na muonekano huo wa mchepuko lakin huishia kuolewa huyo mme sijui kwanini poleni kwa yalowakuta Mchepuko uko bomba ile mbayaa View attachment VID_320400521_211404_482.mp4
Wengi hufikiria kuolewa na wanaume wazuri na muonekano huo wa mchepuko lakin huishia kuolewa huyo mme sijui kwanini poleni kwa yalowakuta Mchepuko uko bomba ile mbayaa View attachment VID_320400521_211404_482.mp4
GREAT NAME JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 1,093 Reaction score 1,740 Jul 25, 2018 #2 Mama Sabrina said: Wengi hufikiria kuolewa na wanaume wazuri na muonekano huo wa mchepuko lakin huishia kuolewa huyo mme sijui kwanini poleni kwa yalowakuta Mchepuko uko bomba ile mbayaa View attachment 818448 Click to expand... nime imagn tu huo mchepuko ulivo mb za free b
Mama Sabrina said: Wengi hufikiria kuolewa na wanaume wazuri na muonekano huo wa mchepuko lakin huishia kuolewa huyo mme sijui kwanini poleni kwa yalowakuta Mchepuko uko bomba ile mbayaa View attachment 818448 Click to expand... nime imagn tu huo mchepuko ulivo mb za free b
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,654 Jul 25, 2018 #3 MICHEPUKO HOYEE
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,607 Reaction score 27,607 Jul 25, 2018 Thread starter #4 Joseverest said: MICHEPUKO HOYEE Click to expand... Mchepukp anavutia jamani
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,986 Reaction score 168,513 Jul 25, 2018 #5 nakuja kivingine
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Jul 25, 2018 #6 Sijaelewa hii mada vis video, ok ngoja niende kule umiza kichwa siasani
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 29,337 Reaction score 93,993 Jul 25, 2018 #8 Ukiona mwanamke ambaye hajaolewa awe anamtoto au hana..... Akikubali kua Mchepuko wa Mwanamme mwenye Ndoa . Maana yake nikwamba HANA AKILI bali ana matope ya kufugia minyoo . Vladimirovich Putin[emoji8]
Ukiona mwanamke ambaye hajaolewa awe anamtoto au hana..... Akikubali kua Mchepuko wa Mwanamme mwenye Ndoa . Maana yake nikwamba HANA AKILI bali ana matope ya kufugia minyoo . Vladimirovich Putin[emoji8]
wilbald JF-Expert Member Joined Dec 17, 2007 Posts 1,809 Reaction score 1,382 Jul 26, 2018 #9 Mama Sabrina said: Wengi hufikiria kuolewa na wanaume wazuri na muonekano huo wa mchepuko lakin huishia kuolewa huyo mme sijui kwanini poleni kwa yalowakuta Mchepuko uko bomba ile mbayaa View attachment 818448 Click to expand... Kumbe unapenda 6pc? Njoo huku mapemaaa tuanze kucheza.
Mama Sabrina said: Wengi hufikiria kuolewa na wanaume wazuri na muonekano huo wa mchepuko lakin huishia kuolewa huyo mme sijui kwanini poleni kwa yalowakuta Mchepuko uko bomba ile mbayaa View attachment 818448 Click to expand... Kumbe unapenda 6pc? Njoo huku mapemaaa tuanze kucheza.