yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,904
- 3,415
Acha undezi boss hapo unachunwa tu! Wanawake hawako hivo unavomfikiliaMchepuko umepagawa na huduma.
Kutokana na ninavyomjali; , chuo, matibabu n.k sasa hivi amechanganyikiwa kabisa. Ananiuliza 'nilikuwa wapi siku zote hadi nikaolewa na yule mbulula'. Mbaya zaidi sasa ananiita mume na ananisihi kama ikiwezekana awe mke wa pili. Mi nabaki kumuitikia tu sawa,muda ukifika tutafanya hivyo ingawa najua itakuwa ngumu kuja kuhalalisha kuwa mke wa pili. Nilichogundua hawa viumbe ukiwapa huduma staiki; staili zote utapewa na majina ya kila namna ya kimahaba utapata. Ila usipotekeleza mahitaji yao....utakuwa unabaniwa mechi hadi kuhisi dunia imekutenga.
Uko sawa kabisa mkuuMali nyingi hukupa mke feki lkn uhalisia hukupa mke mwenye penzi la kweli
Bado upo naye?Mchepuko umepagawa na huduma.
Kutokana na ninavyomjali; , chuo, matibabu n.k sasa hivi amechanganyikiwa kabisa.
Ananiuliza 'nilikuwa wapi siku zote hadi nikaolewa na yule mbulula'. Mbaya zaidi sasa ananiita mume na ananisihi kama ikiwezekana awe mke wa pili.
Mi nabaki kumuitikia tu sawa,muda ukifika tutafanya hivyo ingawa najua itakuwa ngumu kuja kuhalalisha kuwa mke wa pili.
Nilichogundua hawa viumbe ukiwapa huduma staiki; staili zote utapewa na majina ya kila namna ya kimahaba utapata. Ila usipotekeleza mahitaji yao....utakuwa unabaniwa mechi hadi kuhisi dunia imekutenga.
Katika kikao kilichopita tulikwisha kubaliana kwamba mwanamke anapenda apewe material stuff kisha ndio atoe tunda. Ila mwanaume anapenda ngono zaidi so lazma atoboke ili apewe tunda.Mchepuko umepagawa na huduma.
Kutokana na ninavyomjali; , chuo, matibabu n.k sasa hivi amechanganyikiwa kabisa.
Ananiuliza 'nilikuwa wapi siku zote hadi nikaolewa na yule mbulula'. Mbaya zaidi sasa ananiita mume na ananisihi kama ikiwezekana awe mke wa pili.
Mi nabaki kumuitikia tu sawa,muda ukifika tutafanya hivyo ingawa najua itakuwa ngumu kuja kuhalalisha kuwa mke wa pili.
Nilichogundua hawa viumbe ukiwapa huduma staiki; staili zote utapewa na majina ya kila namna ya kimahaba utapata. Ila usipotekeleza mahitaji yao....utakuwa unabaniwa mechi hadi kuhisi dunia imekutenga.
Wazi kabisa!!!Mali nyingi hukupa mke feki lkn uhalisia hukupa mke mwenye penzi la kweli
Sababu unahudumiwa tu? Wanawake ni wanafiki sana yaniπ na unafiki wenu hujidhihirisha siku huduma zikikata ghaflaUmesahau kuwa na mapenzi ya kweli, hapo hata blowjob utapewa kila siku kabla ya kwenda kazini.
Hapa ulidanga kwa weledi! πNdio, nakumbuka way's back nilipokuwa chuo. Kuna huyu Prof alitokea kuvutiwa nami, mwanzo nilimsumbua baadae ikabidi nimkubalie hakika niliyafurahia maisha ya chuo nimemaliza na GPA nzuri tu na sasa kanitafuta chuo nipo cyprus nachukua masters yangu. Wakati mwingine ni vyema kuachia tu lakni sio kwa kila mtu, hakikisha tu ni mtu ambaye ataweza kukushika mkono.
π π π π π kwahio unawasihi waachie kwa weledi sio? Vipi afya yako iko salama lakini maana unaweza ukafanikiwa upande mmoja mwengine ukajikuta umefeliSure, kuna institute moja hapo nyumbani, kuna watu wamebakizwa kwa kigezo cha ku mingle na instructors wale waliokuwa wanabana bila sababu maisha yamewapiga sana huko mtaani hadi huruma.
Kama ni hivyo basi sahihi! Ila usitegemee atakujali ukifuliaπKweli mkuu,mi namjali kwa kipindi hiki ninachomtumia
Ameshazeeka tayariBado upo naye?
Tupe mrejesho
Uko sahihiKatika kikao kilichopita tulikwisha kubaliana kwamba mwanamke anapenda apewe material stuff kisha ndio atoe tunda. Ila mwanaume anapenda ngono zaidi so lazma atoboke ili apewe tunda.
Dah ndiyo ukamuacha?Ameshazeeka tayari