TheBuilder
JF-Expert Member
- Apr 21, 2014
- 237
- 212
Habari za leo wadau,
Ningependa nizungunzie hili jambo kwa ufupi. Kama tujuavyo katika mahusiano ya kimapenzi kati ya mke na mume au msichana na mvulana huwa kuna tabia ya kuwa na mtu wa pembeni maana kwamba siyo mtu rasmi anayetambuliwa na familia au rafiki zako.
Kuna vitu vingi tofauti ambavyo vyaweza kumfanya mtu achepuke, lakini kuna vitu 2 ambavyo mimi naona ndiyo vikubwa zaidi.
1. Tabia.
Kuna watu ambao wana tabia ya kutotosheka na mtu 1, awe ni mkewe ndani au awe ni mapenzi wake pamoja na kijitaidi kumtosheleza mwenzake lakini bado atachepuka tu hili atafute utoshelevu.
2. Kutotosheka na mwenza aliyenaye.
Kuna watu wengine hutoka nje ya ndoa au mahusiano kwa sababu ya kutotosheka na wenza wao. Kutotosheka huja pale mwenza mmoja anaposhindwa kumtosheleza mwenzake kwa kuchoka mapema au kwa yeye kutosheka haraka kabla ya mwenzake.
Kitu cha pili ni kutokana na utandawazi wa habari na mitandao ambapo kumekuwa na mambo mengi ya kujifunza na kuyaiga hasa picha za ngono ambapo watu huziangalia na kupata shauku ya kuyajaribu yale waliyoyaona, na hapo ndiyo utata huanzia.
Kumbuka michepuko ni wajanja hupenda kuutumia udhaifu wa mwenza wa mtu ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kumnogesha.
Chukulia mfano mkeo anapiga story na mashosti wake, mara huyu anawaambia jinsi mume wake anavyompeleka kwa speed ya 4G kitu kimesimama mnara 15mins bao la kwanza halafu jamaa anapiga bao 3.
Sasa kama miongoni mwa wanaosimuliwa ana mume ambaye anapiga kimoja cha kuku 2 mins kamwaga na kugeukia upande wa pili, huyu mwanamke atashawishika naye kuitafuta raha anayoipata rafiki yake na akimpata wa kumkuna kama alivyosimuliwa na kuionga raha yake hakika wewe mumewe huna chako tena.
Vivyo hivyo kwa wanaume anaye mke au mpenzi wakati wa mechi kalala kama gogo, jamaa anajipinda vilivyo hasikii muziki hata wa kukoroma, usafi sifuri. Huyu kidume akipata mchepuko mzoefu na akakijua anachokikosa huyu mme kwa mkewe basi wewe mwanamke hesabu umeumia.
Mwisho niwaase wanandoa na mlioko kwenye mahusiano kuwa mchepuko siyo dili, lakini tujiongeze kupaboresha pale penye mapungufu.
Wasalaam.