kama kichwa cha habar kinavoeleza, hii imetokea kisiwan bwiro wilayan ukerewe ni baada wanawake wawili kupigania mwanaume inavosemekana kuwa wote walikuwa wachepukaji kwa mwanaume mmoja.
Matokeo ya ugomvi huo ni wote kupeana majeraha kama mmoja wapo hapo chini anavoonekana