Mmmhhhhh...!!!! Alikutana na fundi kamfundisha barabara na hatokuja muacha huyo katu...!!! Kwa ufupi ni ngoma droo...!!! Ulitafuta naye katafuta kapata na kafundishwa....!!! Nadhani imekula kwako kwani utakuwa unaingia katika tope la mwanaume mwenzako...!!! Pole sana kijana...!!!! Lakini ukiwa mjanja kuchapiwa ni.....!!!!!