Mchepuko almanusra udakwe bafuni

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
1,353
Reaction score
2,849
Hii imetokea Mwanza wiki iliyopita, kuna rafiki yangu tunaishi pamoja kama majirani, yaani nyumba yake na yangu zipo karibu sana. Nyumba aliyopanga ina wapangaji 5, sasa ni muda kidogo alianza kuwa na mahusiano na mke wa mpangaji mwenzake.

Sasa wiki iliyopita, mume wake majira ya saa 12 jioni alienda kuhani msiba mtaa wa pili, sasa rafiki yangu huyu na mke wa mpangaji mwenziye wakakubaliana kuwa waende bafuni, yaani mwanamke ajifanye kama anaenda kuoga alafu mwanaume ataenda aingie bafuni ili wafanye yao.

Sasa mwanamke akaingia bafuni then mwanaume akafuatia, ile wanaendelea kupeana mambo yao humo bafuni, mumewe akafika kutoka msibani na akawa anaeelekea uani kujisaidia, bafuni kuna dirisha, mchepuko ukawahi kumuona mume kwa haraka akamwambia mke wa mshikaji kuwa "mumeo anakuja" ile mke kumuona mumewe anakuja, haraka haraka ukafungua mlango wa bafuni ule mchepuko ukatoka haraka sana na kutumbukia kwenye mtaro wa maji machafu ukajibanza pembeni ya bafu, mlango wa bafuni ulisikika ukijigonga kwa sauti, mume alipofika uani akamuuliza mkewe kuwa "mbona unaoga muda mrefu"? mkewe akamjibu "ndo nimeingia bafuni sa hivi" (kwa sauti ya kutetemeka)

Baada ya kujisaidia mumewe alimulika-mulika huku na kule kwa tochi yake aliyokuwa nayo baadae akarudi ndani, huyu mshikaji anasema amekoma kabisa kumla mke wa jirani yake maana ilikuwa ni chupu chupu akamatwe na alipata michubuko wakati wa vurumai lile.

My take: Mke wa mtu ni hatari, kila mtu atafute wa kwake, sasa hivi vijana wengi hawaoi, wanavizia wake za wenzao tu.
 
daha hatari aiseee ,.. kuoa si hoja hoja mnatupa mapenzi baada ya ndoa au mnafikiria tukiolewa hisia zinakufa na hatuitaji mtekenyo mtekenyo nikiwa na maana hiii kuombwa mzigo kimahaba mahaba .. kunitumia sms za mapenzi .. sasa uunakuta mtu na mumewe sms ikiingia ni maagizo tu hakuna mahabati
 
Kuna jirani yangu mke WA mtu naye sijui alifata mtekenyo

kafanyiwa kwenye lijumba ambalo halijaisha na akapata mimba siku hiyo hiyo
sasa ivi anahaha kuitoa na imegoma

nyege zingine bwana Ni shida tuu
hizo ni nyege kivipi wakati kila siku yupo na mume? au shida ni wanaume zao hawasimamishi?
 
naombeni kuuliza wanawake una mume ndani unagegedwa kila siku hivi mechi zingine za mchangani kama hizi ni za nini ?
ukame ,umalaya au ni nini?
labda wewe mwanamke unaeza ukatupa jibu kwa niaba ya wanawake wenzio
 
unaweza ukageuka jack ceni ghafla.. baada ya tukio ukiambiwa ufanye huwezi tena
SI BORA JACK CHAIN HAPO UKIKIKOSA KIKOMBE HICHO NA UKIENDA KUKAA NA KUTAFAKARI ULICHOMOKAJE LAZIMA UJIONE WEWE NI MASTER NOTHING IS IMPOSSIBLE UNDER THE SUN KAMA HIYO IMEKUKOSA LAZIMA MENGI PIA YATAKUKOSA
 
Kuna jirani yangu mke WA mtu naye sijui alifata mtekenyo

kafanyiwa kwenye lijumba ambalo halijaisha na akapata mimba siku hiyo hiyo
sasa ivi anahaha kuitoa na imegoma

nyege zingine bwana Ni shida tuu
mkuu ukweli ndiyo huu japo nitaonekana kama natetea maovu.. wanaume wengi wakioa yani zili ashki ashki zinaisha sijui wanahisi wanawake wanapata monopose baada ya ndoa mi sielewi..lakini wangefanya kautafiti mwanamke anapata raha zaidi wakati gani? mi nijuavyo wakati wa ashki ina raha yake jamani kabla ya dushe,,, sasa humo ndai mume kafika zaidi ya kunyonyana ndimi hakuna kingine aisee.. unakuta ananyonya ndimi akijiongeza sana kashika titi na ushikaji wake kama anakanda mandazi teh.... sasa hapo napata kijana huko kwanza mzigo anauomba kwa maneno matamu matamu halafu unampa cha wizi acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…