Hongera kubwa kwa serekali yetu,mungu azidi kuwapa hekima ya kutusaidia wananchiMkuu White Wizard nakubariana nawe kabisa, mleta mada yawezekana ni muathirika wa hili tatizo ndio maana anadai serikali inaua soko la ndani, jukumu kubwa la serikali ni kuhakikisha usalama wa chakula kwa watu wake kwa kiwango wanachokimudu. Haingii akilini kabisa mleta mada anayataja maghala yote kuwa yamejaa mpunga wa mwaka jana wakati masokoni hakuna bidhaa, imamaana hakuna usafiri? Wao hawana huruma kwa raia wenzao wanalalamika nini sasa? Nashauri serikali isiishie kwenye mchele tu.
Hapa hakuna haja ya kuilaumu serikali kwani wafanya biashara wa kitanzania ndio wanafanya biashara za kizamani!mfano mimi mwaka jana nilikuwa mpanda mkoa mpya wa katavi,watu wananunua mpunga mwingi toka kwa wakulima,wanaufungia kwenye maghala,wakisubiri bei zipande,mwezi wa 11,ulifikia tsh.1600 kwa kilo kwa bei ya jumla ya mchele,bado hawakutaka kuuza wakisubili mwezi kuanzia mwezi feb,kweli Mungu c mzee mkumba,wamevuna walichopanda wanalia kwa sasa mchele hadi tsh.900,na bado wanunuzi hawaonekani!na ndio hawa hawa wanaleta shida kwa wananchi,wanafungia mzigo wakisubilia faida mala dufu,matokeo yake supply inakuwa ndogo,huku demand inaongezeka,acha walie wala c wakuonea huruma hata kidogo.
Impact kwenye Shillingi itakuwaje? Maana unapozungumza mchele ni sehemu kubwa kwenye kikapu cha mwananchi.
Hii move inasaidia ku curb inflation short term lakini huko mbele dollar inaathirika na dollar ndio hii inaenda kununua mahitaji yetu nje so sioni kama serikali imemsaidia mwananchi overall effect ni ZERO!
Impact kwenye Shillingi itakuwaje? Maana unapozungumza mchele ni sehemu kubwa kwenye kikapu cha mwananchi.
Hii move inasaidia ku curb inflation short term lakini huko mbele dollar inaathirika na dollar ndio hii inaenda kununua mahitaji yetu nje so sioni kama serikali imemsaidia mwananchi overall effect ni ZERO!
sure acha wa kwao uozee ndani,mchele ulikua unafika hadi 3000 kwa kilo.Katika hili siilaumu serikali kabisa, tatizo wakulima wakubwa na wachuuzi wa kati wamekuwa na kawaida ya kununua mpunga mwingi kwa wakulima wadogo kwa bei chee na kuuhifadhi wakisubiri bei ipande ili wauze kwa bei kubwa na kupata faida mara dufu pasipo kujali hali halisi ya wananchi walio wengi, enzi za Sokoine aliwafunga jela wafanya biashara wenye tabia za kiuaji namna hii. Kama hamtaki kuuza kwa bei tunayoimudu endeleeni kuhifadhi si twajilia wa Thailand siku zaenda.