Aisee hatari hawa jamaa watatumaliza kwa matakataka yao ,mimi ni mpenzi wa mtindi hasa Tanga,Kilimanjaro na Asas ila noana kila mtindi una texture na ladha tofauti inawezkana wanfanya mafekeche.
Juice za embe au parachichi huwa sinywagi kabisa mimi juice ya ukwaju au ya miwa ndiyo natumia.
Karoti wanaosha nasabuni ndiyo inakuwaje? Lengo ni nini?